Shilingi yashika patamu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Aisee kwa kweli sasa TZS inapanda thanani dhidi ya madafu ya Obama, kwa sasa 1US$ = TZS 1560 two months ago ulikuwa say unataka kununu nje kitu cha US$ 20000 ungetumia TZS 5m zaidi kama unataka kununua sasa..

My take: Huu ni wakati muafaka wa kuagiza bidhaa toka nje..
 

huu ni wakati muafaka wa kununua dola, ikifika jan, feb mwakani, dolor inarudi pale pale.
 
Mkuu ya kweli hayo au unatutania? ngoja nikalipie mapema zile huduma zetu wanazotuchaji kwa fedha ya Obama kabla hili sarafu halijaporomoka tena maana haliaminiki hata kidogo.
 
subiri ifike tarehe 11-15 januari........demand ya usd iko chini kipindi hiki cha masiku kuu watu hawaaigizi sana vitu nje wengi wako mapumzikoni!
 
Hii ndiyo miezi ya neema kwa serikali.

Mazao ya korosho, kahawa na pamba ndiyo kipindi yanauzwa kwenye masoko ya nje kwa dola hadi mwezi January, kama hakutakuwepo na matumizi ya hovyo hovyo shilingi inaweza kuwa na nguvu hadi mwezi February 2012.
 
kuna kipindi $1 ilikuwa Tsh 5, au umesahau asili ya neno daladala?
 
Dola imeshuka thamani against major currencies.
 
huu ni wakati muafaka wa kununua dola, ikifika jan, feb mwakani, dolor inarudi pale pale.

kamanda, kwa uchumi wetu wala huwezi jua ufanye nini, juzi nimenunua dola ilipokua 1700 (baada ya kushuka from 1910) kwa sasa imekula kwangu.... all the value are rather managed kama currency ya ghana in 2006/7
 
Shillingi imeshika hatamu kwa muda tu shilingi haina nguvu kuliko Dollar . Shilingi nguvu yake ni ya soda kama ni soda itakuwa ni Pespi cola, ngojeeni uingie Mwaka mpya muone shillingi itakavyoshuka chini.
 
Du hongera mkulo na mwana-uchumi dr dr dr kwa kuipandisha thamani shilling
 

Sidhani kama wabeba 'box' watafurahia hii habari? kwa taarifa yenu, kipindi cha Octoba/Novemba baadhi ya wabongo wlioko juu walikuwa wanatabasamu kimyakimya!
 
Na Mimi imekula kwangu sijui nilieau ninyamaze!!:eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…