Shilling rebounds to 101 against the dollar

Shilling rebounds to 101 against the dollar

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
The shilling has strengthened to the 101 level against the dollar on the back of flagging greenback demand in the market, just days after weakening sharply against the US currency following the end of year festive period.
Commercial banks were quoting the shilling at an average 101.85 in the interbank market Tuesday, having gained 35 cents from Friday, when it was exchanging at 102.20 units to the dollar.
Last week the shilling had opened trading at an average of 101.80. A spike in dollar demand from corporates towards the end of the week as businesses resumed operations weighed in, however, pushing it above the 102 level raising fears of a round of volatility.
Traders said inflows from agriculture exports and remittance have also helped balance out dollar supply and demand this week, giving the shilling headroom to regain some of the lost ground.
“The shilling had an ally at the opening of the week, in the form of weak foreign currency demand, resulting in the local currency edging higher against the dollar,” said Commercial Bank of Africa in a currency market note.
“We see competing forces taking centre stage in the local currency market, limiting the movement of the shilling against the greenback within familiar ranges.”
The regulator has also mopped up liquidity in the markets in the last two days, helping ease the pressure that was building on the shilling.
The CBK on Monday took up Sh15 billion through the repo market and followed up with Sh10 billion Tuesday.
The amount of bids received, however, indicate that the market is heavily liquid, with lenders offering up Sh50 billion on Monday and Sh30.8 billion yesterday.
The interbank rate has also fallen significantly, standing at 4.7 percent down from a three-year peak of 11.3 percent in mid-December.
This liquidity has been fed (partly) into the market by the high amount of maturities on the government’s short-term debt, amid low uptake of new offers.
In December, total maturities across the three tenors of T-bills amounted to Sh93.7 billion.
The Treasury only managed to raise Sh46.7 billion from the four auctions during the month, meaning that there was a similar amount that filtered through into the market as net repayments on domestic debt.

Shilling rebounds to 101 against the dollar
 
Kwao wako busy kwenye kumbana CAG wao aisumbue madudu, fuatilia mijadala yao ya siasa kule jukwani, hehehe wamempimia hewa, ila huyo CAG ameiga jeuri ya mwenzake wa Kenya, hatetereki, ameamua kieleweke.
Kuna mada kama hii hapa CAG na ukaguzi wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport - JamiiForums
mkuu huku kwetu tunaongozwa na wazalendo...........

hawataki kabisa kufuatiliwa, hawataki kukosolewa, wao wako sahihi siku zote!.........

magufuli kuna mambo mengi mazuri anafanya, ila pia kuna ufisadi mkubwa na uvunjifu wa sheria ya fedha za umma anafanya vile vile in the name of uzalendo!!!!..........
 
Kwao wako busy kwenye kumbana CAG wao aisumbue madudu, fuatilia mijadala yao ya siasa kule jukwani, hehehe wamempimia hewa, ila huyo CAG ameiga jeuri ya mwenzake wa Kenya, hatetereki, ameamua kieleweke.
Kuna mada kama hii hapa CAG na ukaguzi wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport - JamiiForums
Nimekuwa nikifatialia nyuzi kadhaa kuhu Huyo CAG na kugundua kuwa Wengine wanaochangia mle hawajafurahi hata kidogo na pia kuwa Wengine waliohapa pande ya Kenyan news hawapo Kule.
 
Nimekuwa nikifatialia nyuzi kadhaa kuhu Huyo CAG na kugundua kuwa Wengine wanaochangia mle hawajafurahi hata kidogo na pia kuwa Wengine waliohapa pande ya Kenyan news hawapo Kule.
bongo imegawanyika pande mbili awamu hii.........

wapo wanaokosoa sana anayofanya jamaa, na wapo pia wanashangilia hasa kila analofanya!!.........
 
bongo imegawanyika pande mbili awamu hii.........

wapo wanaokosoa sana anayofanya jamaa, na wapo pia wanashangilia hasa kila analofanya!!.........
Wengine wanakosoa kununuliwa kwa Nyumba za NSSF bila kufuata taratibu za kiwazi huku Wengine hawana shida na hizo taratibu kwa kusema kuwa hawaoni makosa ila kwa maoni yangu naona kuwa ni conflict of interest mwenyikiti kununua Nyumba hizo bila kufuatilia tender process.
 
sasa kweli ndugu zangu wakenya yaani shilingi yenu kuongezeka kwa cent kidogo zidi ya dollar hiyo kwenu ni kick hapa jf
 
Wengine wanakosoa kununuliwa kwa Nyumba za NSSF bila kufuata taratibu za kiwazi huku Wengine hawana shida na hizo taratibu kwa kusema kuwa hawaoni makosa ila kwa maoni yangu naona kuwa ni conflict of interest mwenyikiti kununua Nyumba hizo bila kufuatilia tender process.
yeah........

ila bottom line inaonesha kuna shida kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine wananchi wanafichwa wasijue!!!.........

aina hii ya uongozi sio nzuri, maana inazaa uharibifu mkubwa mbele ya safari........

uzuri wake sie watanzania hatujali lolote, tutaishia kupiga kelele za kushangilia au kukosoa huku mitandaoni, hakuna la ziada!!!!....... nadhan tanzania ni moja ya nchi ambazo wananchi wake hawana sauti yenye nguvu dhidi ya viongozi wao!
 
Shida yenu ni kutoelewa hali zenu kama walipa kodi na ndio sababu kuu ya kupata hata mitandao ya kijamii yanafungwa kiholela na pia uhuru wa wanahabari unazimwa na Serikali. Tanzania kwa sasa ipo mahali Kenya ilikuwa back in the 80s and 90s.
 
bongo imegawanyika pande mbili awamu hii.........

wapo wanaokosoa sana anayofanya jamaa, na wapo pia wanashangilia hasa kila analofanya!!.........

Yakupasa useme wapo wanaunga mkono kila anachofanya,na wapo wanaopinga kila anachofanya.

Wanaoshangilia kila anachofanya,wanakwenda kinyume na wanaolia kwa kila anachofanya.
 
Yakupasa useme wapo wanaunga mkono kila anachofanya,na wapo wanaopinga kila anachofanya.

Wanaoshangilia kila anachofanya,wanakwenda kinyume na wanaolia kwa kila anachofanya.
ndivyo nilivyosema!.........

bottom line, nchi yetu ina mgawanyiko usio wa kawaida!.....

tumekua kama nyumbu vile,,,,,,,, kila upande unaswagwa tu kuelekea wanakojua wakubwa wao![emoji2]
 
Shida yenu ni kutoelewa hali zenu kama walipa kodi na ndio sababu kuu ya kupata hata mitandao ya kijamii yanafungwa kiholela na pia uhuru wa wanahabari unazimwa na Serikali. Tanzania kwa sasa ipo mahali Kenya ilikuwa back in the 80s and 90s.
kuna tofauti kubwa sana kati yenu na sisi........

namna tulivyopata uhuru na mambo yaliyofanywa baada ya uhuru yametufanya tuwe hivi tulivyo!........

kwaio,sisi tunaishi kama kondoo tu hatuna uamuzi wa kufanya hata kaka tunajua yanayopaswa kufanywa!.........

ukabila wenu ni kitu kibaya sana lakn ukitazama kwa upande mwingine umewasaidia kuondokana na hizi tabia za watu wachache kuwatawala walio wengi bila hofu kabisa,......

sisi mfumo wa chama dola mpk leo unatusumbua, ndio maana watawala wanaweza kufanya lolote wakat wowote mbele ya yeyote bila kuogopa chochote!........
 
Back
Top Bottom