Shilling yazidi kuporomoka! 1796!

Shilling yazidi kuporomoka! 1796!

Fx Trader

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
488
Reaction score
186
Wakuu thamani ya shillingi yetu imazidi kuporomoka kwa kasi. Sabaabu kubwa ni Escrow!
 
Nina 15,000,000 nataka kwenda Dubai nitamiza malengo yangu kweli kama pesa imeshuka thamani hivi
 
Escrow hiyo kaka. Pole kaka. Only CCM benefits!
 
Safi sana. Faida tupu hapa. Natamani ifike hata 2000.
 
... Kwa wale wafuatiliaji kisawasawa je haitashuka labda mwezi ujao?
 
Yule jamaa mwenye jukumu la kueleza kwa nini shillings inashuka naona kaja na mada ya kukanusha kupotea na helkopter
 
Dola zetu zipo uswisi. CCM doesn't care my friend. Waziri wa Fedha hana habari. Ndulu sijui yuko wapi. Kikwete hana shida na escrow.
 
duh! maisha ndo yanazidi kukaa uchi tu kila siku, ndo maana panya wa barabarani hawaishi.
 
Bei ya mafuta haishuki kwa kasi kwasababu ya wana CCM! Maisha bora kwa nani tena? Sumatra kimyaa. Wezi wote!
 
Wenyewe majuha wanasema uchumi umekua!Ccm oyeee...
 
ndo shida ya kuwaamini waislam. nyerere akiwa rais uchumi ulisimama na ben aliusimamisha na nidham ikarejea.

hawa wavaa vipedo mwinyi na mwenzie mkwere hovyo kabisa. siku zote wanatugharimu
I'm Christian lakini ulichoandika ni uharoooo.......
Nyamba....u sana wewe,Rais hatumchagui kutokana na dini yake wala kabila yake.
Wewe,wewe,wewe ......
 
Back
Top Bottom