Umesoma economics au finance? Kama hujui kitu bora ukae kimya au omba ujulishwe. Hakuna currency ambayo haishuki thamani. Hata dola yenyewe inashuka thamani pia. Ila tofauti ni rate tu ya kushuka thamaniWachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
umeelewa ulichotaka kusema mkuu? maana naona content na heading ni vurugu tupu hazina uhusianoWachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?

watakuambia wao ni japani😀Hatari sana, haswa kwa nchi inayotegema kuagiza (import) zaidi ya exports.
Sababu ni kwamba Miradi mikubwa ya maendeleo mfano Reli ya umeme inatekelezwa na Pesa za ndani.. Kwahiyo demand ya Dollar inakuwa kubwa sana na kupunguza reserve ya nchi.. Tegemea Shillingi kuendelea kushuka Zaid ya hapo mpaka miradi itakapokamilika. Wakishaacha kutumia reserve ya Dollar na kuacha kuendelea kuingia bila matumizi makubwa utaona hali inarejea kawaida. Kenya asilimia kubwa katika kila sekta wanatumia mikopo reserve wanatumia kidogo..Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?