Shillingi ya Kenya inaimarika, shillingi ya Tanzania inashuka

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,480
Reaction score
6,162
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
 
Watakupa jibu ambalo utashangaa nahisi watakwambia mafisadi hawana chao awamu hii.
 
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
Umesoma economics au finance? Kama hujui kitu bora ukae kimya au omba ujulishwe. Hakuna currency ambayo haishuki thamani. Hata dola yenyewe inashuka thamani pia. Ila tofauti ni rate tu ya kushuka thamani
 
Hatari sana, haswa kwa nchi inayotegema kuagiza (import) zaidi ya exports.
 
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
umeelewa ulichotaka kusema mkuu? maana naona content na heading ni vurugu tupu hazina uhusiano
 
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?

Alama kubwa kabisa ya nchi kudondoka ni siku utakaposikia zinachapishwa noti mpya, na hatuko mbali kufika huko, ushauri tu, kama una pesa zako za Madafu na hazina shughuli kwa sasa, basi ni bora ukaziweka kwenye Dollar au Euro
 
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?

Hili jukwaa ukija na issue LAZIMA uje na supporting evidence. Ukija KAMA ulivyokuja hivyo tunakuona hamna kitu.
Kama unabisha fungua thread zote humu uone watu wanavyojishughulisha kuleta citations authorities au evidence.

Hizi thread peleka kule ambako mtu anaweza kuandika KITU cha kufikirika tu, halafu akapata like za kumwaga.
 
Wachumi wa kisiasa tuambieni, hili nalo limesababishwa na nini?
Eti juzi 1USD ilinunuliwa kwa max. TSH 2245 na kuuzwa kwa 2252 max.
Sasa eti 1USD inanunuliwa kwa TSH 2262 kuuzwa kwa Tsh 2270+
Au ndio mambo ya hiyo namba ya kusoma namba 1.5trillion?
Sababu ni kwamba Miradi mikubwa ya maendeleo mfano Reli ya umeme inatekelezwa na Pesa za ndani.. Kwahiyo demand ya Dollar inakuwa kubwa sana na kupunguza reserve ya nchi.. Tegemea Shillingi kuendelea kushuka Zaid ya hapo mpaka miradi itakapokamilika. Wakishaacha kutumia reserve ya Dollar na kuacha kuendelea kuingia bila matumizi makubwa utaona hali inarejea kawaida. Kenya asilimia kubwa katika kila sekta wanatumia mikopo reserve wanatumia kidogo..
 
Back
Top Bottom