Niliwahi kusikia wachumi wanasema eti sababu mojawapo ya huo mporomoko ni kwamba: hatuuzi bidhaa zetu (i.e pamba, kahawa, katani, madini) njeya nchi kwa wingi kama tunavyonunua bidhaa toka nje......sijui km kuna ukweli ktk hilo!
ndulu amesema tuuze nje na uchumi utapanda
Kaka mbona bado naitaendelea kushuka thamani, kwasasa tunaagiza Fuel kwa wingi sana kwa matumizi ya jenereta majumbani mwetu na maofisini ambapo kama kungekuwa na umeme hiyo demand ya kupeleka pesa za kigeni nje isingekuwa kubwa kiivyo, ninachokiona mimi kwasasa ni ukosefu wa sera na usimamizi mzuri wa kukuza uchumi wetu. kumbuka rais akisafiri inatumika pesa ya kigeni, wale wabunge walikwenda kubembeleza pesa za BAE wanatumia pesa za kigeni. Tupige magoti tuombe Mungu.... awape hekima viongozi wetu hawa!
Wakuu hii kitu inatisha,ila kuhusu euro naona kama kuna mchakachuo.
Thamani ya dola imepanda,especially against the Euro na wanajitahidi kui mess up yuan kidizaini....nilifanikiwa kuona interview ya Geithner,kwenye CNBC leo......we need to brace ourselves.
One-sided sentiment extremes in Euro/US Dollar options risk reversals have coincided with a noteworthy EURUSD bottom and call for further strength. Our risk reversal percentiles showed that FX Options traders had grown the most aggressively bearish the EURUSD in the past quarter. Such sentiment extremes have come on important price bottoms and tops in recent years, and this particular instance is so far no exception.
Source😀ailyFx.com
Hizo graph zinaonyesha thamani ya euro against dollar, utaona kuwa euro ilikuwa inapada thamani mpaka mwezi mei ambapo ilikuwa maximum,ikaanza kudondoka june mpaka sasa ni kama 1.43 against a dollar,mwezi mei(graph ya kwanza) ilikuwa almost 1.48,ila inaonyesha kuwa euro inajitahidi tena ku-rally towards kiwango cha may(may be due to greece bailout).
Graph ya pili inaonyesha uwekezaji wa Euro in long/short term basis,angalia orange na blue zinavyoshuka,against non-commercial value(kijani),graph ya pili inaonyesha jinsi Zitto alivyokuwa akiiambia serikali kuhusu kununua euro bonds badala ya gold,ambayo leo nilipoangalia markets imepanda kama 0.63 pts at the closing bell.
Perfomance ya dollar nayo inasemekana itakuwa strong especially baada ya serikali ya US ku-release mafuta kutoka kwenye reserves zake kwa ajili ya sikukuu ya uhuru wao ili kupunguza bei ya mafuta huku,hii itapunguza exports za mafuta na kungangalisha thamani ya dollar kidogo.
Kwa sisi wabeba mabox ni habari nzuri kwani tukiweka vijisenti vyetu kwenye tembo card,tutapata kafaida kadogo,ila kwa wafanyakazi wanaolipwa madafu,itakuwa kazi kidogo.
Asante mkuuMkuu asante kwa ufafanuzi. Nakutakia ubebaji mabox mwema!!!!!
Tiba
Natabiri mimi Pesa ya Tanzania baada ya miaka mitano ijayo pesa yetu itakuwa kama pesa ya Congo,na Zimbabwe Makaratasi yasiyokuwa na thamani yoyote ile.
Tutafanya jambo la maana kama tutapunguza matumizi ya mafuta kwa njia mbili,kupnguza wingi wa matumizi,na at the same time kuongeza ufanisi (efficiency) kwenye uzalishaji.
Pia ingekuwa ni vizuri sana tukitaifisha migodi yote ya dhahabu.