Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My friends, our shilling has continued its depreciation trend and has today hit a 3 year low of 1745! This is a depreciation of 145 shillings since the start of the year. So friends no respite from lower global fuel prices! Thanks CCM and IPTL!
kuporomoka kwa shilingi kuna maanisha kupanda kwa baadhi ya bei ya vitu na bidhaa,kiuchumi hiyo ni kukua kwa uchumi maana endapo mtu ataweza kumudu gharama hizo basi economically tunasema uchumi unakua.kukua kwa uchumi sio jambo la kawaida tu,kwa wale wanaofaham watakuwa wanatambua hilo
kuporomoka kwa shilingi kuna maanisha kupanda kwa baadhi ya bei ya vitu na bidhaa,kiuchumi hiyo ni kukua kwa uchumi maana endapo mtu ataweza kumudu gharama hizo basi economically tunasema uchumi unakua.kukua kwa uchumi sio jambo la kawaida tu,kwa wale wanaofaham watakuwa wanatambua hilo[/Q
Du, kaka haiko hivyo

Nmekuelewa kaka. Hapo umemaanisha akili za kuzaliwa changanya na za kwako!
kwa hiyo kwa nchi kama Kenya.
dolla 1 = 80-85 Ksh unamanisha uchumi wao umeshuka?
kasome uchumi vizuri acha kuingiza siasa
Hali hii ya Shilingi yetu inasababisha hata tunandharaulika. Kikwete na Mwinyi wameiletea nchi hii laana na sio kwa currence tu ila wameharibu kila kitu wakishirikiana na mafisi wa chama chao cha wezi. Niko Kenya Now nashangaa sana mambo yalivyo katika order. Wa.pu.mbav.u wa CCM wameweka nchi katika worse situation to the extent wamezidisha gharama za maisha bila hata kuwa na strategy za kumuwezesha mtanzania kumudu maisha haya. Hatuna wachumi! Hatuna wana mipango, tuna wala rushwa na watu wa dili tu serikalini. ni serikali ya kiwizi wizi tu na hawana focus kunusuru uchumi na sarafu yetu. Hata usafi tu wa miji yetu wameshinda sembuse uchumi na currency yetu??
Nilitembelea Casino moja hapa Nairobi shilinbi 100 za Tanzania zinaexchenchiwa kwa Sh. 4 za kenya. ikimaanisha kwamba Sh.1 ya kenya ni 25 TS. coin zao mwisho ni 20 while kwetu ni 500 sasa. coin kiuhalisia haina hadhi!1 ndo CCM na Gaavana wao Professor Nduli na Professor Kikwete (Baharia).
CCM wako bisy kuhadaa umma, kufake mambo, rushwa na kudhoofisha upinzani na wanasahau dhamana walioyoichukuwa kwa wizi kuongoza nchi. JK kapewa PHD ya kusafiri uchumi unatarajia uwe je? Kapewa Uprofessor kwa umahiri wa wachina kuvuna pembe za ndovu in exchange of sembe!!
Wabongo tuamkekwa kweli.
kuporomoka kwa shilingi kuna maanisha kupanda kwa baadhi ya bei ya vitu na bidhaa,kiuchumi hiyo ni kukua kwa uchumi maana endapo mtu ataweza kumudu gharama hizo basi economically tunasema uchumi unakua.kukua kwa uchumi sio jambo la kawaida tu,kwa wale wanaofaham watakuwa wanatambua hilo
Son of...........................................................