Shilole Aamua Kujisifu Katika Mitandao Ya Kijamii

Shilole Aamua Kujisifu Katika Mitandao Ya Kijamii

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe.



Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.


“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilol
 
Angelist hao wanaume ili tuwafanyie appraisal kwanza
 
Sio sifa ni ujinga ajiangalie muda wake wa kufanya hayo ni mdogo sana hana muda atachakaa na atakuwa anapandwa na watu wasio kuwa na hadhi na yeye wakiwemo mateja
 
wale baba wa watoto wake je

ukiwa muongo uwe na kumbukumbu nilimsikilizaga leo tena na Dina Marious

alisema aliachwa leo kageuka
 
sasa ivi Shilole anamegwa na dogo mmoja mjinga mjinga Nuhu Mziwanda..
 
sasa ivi Shilole anamegwa na dogo mmoja mjinga mjinga Nuhu Mziwanda..

Kwa hiyo kazi yake kubemenda watoto wa wenzie.
Jamani wizara ya watoto na jinsia iingilie kati.
 
Wanakufumua sana chemba cha mavi
Sasa wakikumbuka zoezi zima unavyolimudu lazima warejee
Hata mimi nitarejea!
Hafu wewe mtoto unaonekana full mswahili
Sema ustar umekutembelea bahati mbaya tu!
 
Back
Top Bottom