Shilole Aamua Kujisifu Katika Mitandao Ya Kijamii

Shilole Aamua Kujisifu Katika Mitandao Ya Kijamii

Nop sio huyo masebene kaimba Y-tony

Huyo kijana kaimba wimbo mmoja unaitwa ----- mtozeni. Ukimsikiliza kwa makin ana flow za Shetta. ni kakijana hivi kasikojua kanataka nini katika maisha yake, eti kanapendana na Shishi Baby kana akili kwel haka?
 
Biashara matangazo...anajitahidi kujitangaza
 
biashara matangazo. Ngoja nijaribu nione ana nini cha ziada.!
 
Halaf huyu naeee bwanaa mswahilii mnoo tatizooo
 
Aliachwa na barnaba. Barnaba aliniambia alimmega tu na kusepa sababu alikuwa na mchumba wake pia wazazi walikuwa hawampendi shilole

Kwa hiyo Barnaba alitekeleza mchepuko ?....au kwa maneno mengine dogo hakuwa anamuheshimu mchumba wake huyo ?...........and last but not least....dogo alikuwa anatumia kinga kumlinda mchumba wake ?
 
Hivi kwamfano Makalio yya Agness Masogange yakalipuka ! Si ndo basi tena kwisha kazi !
 
Kweli shule nzuri na yule shoga wa uingereza nae ulimtukana au ushoga si ulijisifia umepata ulipopataka fyuu kaa chini jifikirie si unamtoto wewe hivi akisoma huo upuuzi wako wanawake lini tutajikomboa jamani
 
Kwa hiyo Barnaba alitekeleza mchepuko ?....au kwa maneno mengine dogo hakuwa anamuheshimu mchumba wake huyo ?...........and last but not least....dogo alikuwa anatumia kinga kumlinda mchumba wake ?

hapo kwenye red sikuwepo wakati wana duuuuuu hivyo sijui kama walitumia kinga
 
Back
Top Bottom