Shilole adai alipata shida kuicheza scenes ya mahaba katika video ya wimbo ‘Natafuta Kiki’

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Msanii wa muziki, Shilole ameweka wazi jinsi alivyopata wakati mgumu kuicheza scenes ya mahaba katika video ya wimbo ‘Natafuta Kiki’ ya Raymond.
xShishi.jpg.pagespeed.ic.8f6qUcMaOL.jpg

Scenes hiyo inamuonyesha muimbaji huyo wakati akishikwa shikwa na baadae kupigwa denda.

Muimbaji huyo amesema alilazimika kunywa pombe ili aweze kuicheza scenes hiyo ya mahaba.

“By the way it was very very bad kwangu, ikanibidi ninywe whiskey kidogo ili niweze kuchangamka,” Shilole alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV Alhamisi hii.

Video ya wimbo huo wameonekana mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu, Harmonize, Chege, Mose Iyobo, Snura pamoja na Faza Kessy.
 
Imebeba uhalisia kidogo alichoimba....!
 
"Faza" kessy ndo nani, picha pls
 
Back
Top Bottom