Shilole ajikita kwenye Muziki

Shilole ajikita kwenye Muziki

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
shilole%201.jpg


Alisema hana upinzani kwenye Filamu kwani nafasi yake iko kubwa, kwa kuonyesha uwezo wake kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kuisuka albamu ya muziki wake na nyimbo mbili zipo tayari na zinasikika redioni.


Si mwingine bali ni yule Mwingizaji wa jinsia ya kike kwenye Sanaa ya Filamu Swahiliwood Zuwena Mohamed ’Shilole’, alisema kwamba baada ya kufanya vizuri kwenye Filamu na kuonyesha upinzani kwa waigizaji wengine wa kike na kuwafunika.


ameingia katika fani nyingine ya muziki ili aweze kuwakimbiza huko na kuongeza mashabiki kwa kila fani anayofanya kwani lengo lake ni kuwaburudisha wapenzi wake wa filamu na muziki pia .


Shilole anauwezo wa kuigiza, anaweza kusema kwamba hana upinzani kwenye Filamu kwani nafasi yake iko kubwa, kwa kuonyesha uwezo wake kwa sasa yuko mbioni kurekodi albamu yake ya muziki.
 
kama kuna mtu kachemsha kuingia kwenye muziki ni huyu,ni ushauri tu uamuzi wake
 
sio muziki ni mziku wa kibasha sikiza ule wimbo wake na qchila
 
Hakuna anachoimba, labda kama ni biashara ndani ya biashara.
 
Last edited by a moderator:
kuimba= no
kukatika= yes
advice= ajiunge twanga awe dancer,or kanga moja moko or kitu tigo or baikoko.
nifikiri kwa hapo atafiti.
 
Back
Top Bottom