Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Baada ya Shilole kuja public kulalamika kuwa amepigwa na mumewe Uchebe binafsi niliona Kama ameonewa na karibia watanzania wote tukaamini hivyo.

Leo wakati nimepitia YouTube kuangalia shows za wasanii wetu nikabahatika kuangalia shows za Shilole kiukwel zilinuuzunisha vitu anavyovifanya kwenye stage Ni ukafiri yaani anachagua mshabiki alafu anampandisha kwenye stage anashikwa makalio, anashikwa matiti wakati yeye ni mke wa mtu kwa style hii kwanini Uchebe asimtwange mangumi?

Inayoonesha Kuna mambo makubwa zaidi ya haya anamfanyia uchebe sema Ni kwamba uchebe kashindwa kuweka hadharani.

Wanawake especially Hawa macelebrities wa kike Ni mizinguo Sana akiachana na mchumba wake au mumewe wanakimbilia kufanya interviews ili waonekane Ni wema Sana na wenza wao ndio waonekane Wana matizo kwa jamii.

Mtu Kama shilole analalamika anashalalishwa na mumewe sasa unajiuliza hivo vitu anavyofanya kwenye stage anajidhalilisha au anadhalilishwa?
 
Inno jibu tu hilo swali , Kwani alipotaka kumuoa alimkuta tofauti brother
Me sioni kitu gani mnachomtetea unapoolewa lazima Kuna baadhi ya mambo lazima ubadilishe mfano sisi wanaume tunakuaga hatutulii na demu mmoja tunapokuwa hatujaoa ila tukioa lazima hiyo tabia tunacha tutastick na mke tu.
 
Kwahiyo muanzisha thread, hii ndio sababu aliyokuambia uchebe kwamba ndio hasa chanzo Cha kumpiga shilole? Au huu ni mtazamo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…