Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Me sioni kitu gani mnachomtetea unapoolewa lazima Kuna baadhi ya mambo lazima ubadilishe mfano sisi wanaume tunakuaga hatutulii na demu mmoja tunapokuwa hatujaoa ila tukioa lazima hiyo tabia tunacha tutastick na mke tu.

ingekuwa watu wakioa na kuolewa hubadilika bhasi kigezo cha tabia ya mtu kisingeangaliwa. Unapomkuta mtu na lifestyle flani na ukaridhika nae jinsi alivyo bhasi umeridhika na madhaifu yake pia. Mimi sio fan wa kuamini tabia ya mtu inabadilika kirahisi so naamini uchebe alijua ni mwanamke wa aina gani anaoa
 
Sifurahii anajifanya shilole ila NACHOAMINI KWENYE UPENDO HAKUNA NGUMI au kupigana kibao

Wanaume wa sikuizi sijui wakoje¿¿¿hawajui??ngoja niwaambie:",mwanamke anapiga na kanga nyepesi au ya india na
 
Shida inakuja pale Shilole anapolazimisha tumuhurumie kujifanya msafi kumbe na yeye mchafu acha atandikwe
Anataka kuhurumiwa sababu kaonewa. Binti umemkuta anashikwa shikwa na kupapaswa na ndo njia yake ya kipato, umemuoa ukitaka aache mpe kila kitu kama huwezi vumilia tu.

Huwezi piga paka kwa sababu ana mkia. Paka wote wana mikia, ukikuta hana basi umekatwa. Na yeye aukate, kama hawezi amuache paka wa watu na mkia wake.
 
We nawe embu muache shishi wa watu
 
Me sioni kitu gani mnachomtetea unapoolewa lazima Kuna baadhi ya mambo lazima ubadilishe mfano sisi wanaume tunakuaga hatutulii na demu mmoja tunapokuwa hatujaoa ila tukioa lazima hiyo tabia tunacha tutastick na mke tu.


Kwani mademu huko kijijini kwenu uwaoni? Au mnatafuta lawama tu na maisha ya watu!?
 
Soma alichoandika Shilole,umekielewa?
Uchebe ni kijana mtafutaji sio Marioo Kama akina nuh mziwanda Kuna tofauti kubwa Sana ya kuwa na kipato kidogo na kuwa Marioo.Na kuzidiwa kipesa na mpenzi wako Ni Jambo la kawaida na haimanishi wewe Ni Marioo haina haja ya kutangazia umma kwani shilole si alimpa kwa hiari yake kwani alilazimishwa?
 
Aliyajua na akafikiri kipigo kitamnyoosha akae kwenye mstari.
Habari za kupiga wanawake ni ujima.

Mwanamme haswa unatakiwa ukisema tu neno lako ni zaidi ya kipigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…