Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Kwani akishuka kwenye stage anaminywa?
Inamaana ukioa polisi utampigia salute hata akiwa amesaula kindani? Usidharau kazi za watu
 
Habari za kupiga wanawake ni ujima.

Mwanamme haswa unatakiwa ukisema tu neno lako ni zaidi ya kipigo.
Ila alivyokuwa anapigwa Nuhu Mziwanda ilikuwa sawa?.

Hata Barnaba alikuwa analia kila siku lakini hamkujitokeza kumtetea, leo karma imemkuta ndio mnamuonea huruma.
 
Kwani akishuka kwenye stage anaminywa?
Inamaana ukioa polisi utampigia salute hata akiwa amesaula kindani? Usidharau kazi za watu
Beyonce ni mwanamziki wakike ila mbona afanyi huo upuuzi Kama washilole kwani Ni lazima ukiwa msanii lazima ushikwe matiti,upigwe madole?
 
Ila alivyokuwa anapigwa Nuhu Mziwanda ilikuwa sawa?.

Hata Barnaba alikuwa analia kila siku lakini hamkujitokeza kumtetea, leo karma imemkuta ndio mnamuonea huruma.
Akikujibu nitag
 
Mtu mpaka katungiwa wimbo kuitwa jike shupa bado mnashangaa akidundwa, "nisimkumbuke hata jina yule hasidi..gaidi wa moyo wangu"
"mapenzi si ubondia..najikaza huku nateketea..bora nijivue..." "kule kukusifia....mabaya kukufichia"
WHAT GOES AROUND COMES AROUND...si maneno yangu ni ya Nuhu Mziwanda a.k. Ex wake.

Ona hapo jike shupa linavyorudi lipo tungi.
 
Mwanamke huwaga haelewagi kama amekupa kwa hiyari au hauja mlazimisha.

Mwisho ya yote hela mwanamke ni Chungu sana,nawaone huruma wanaopenda vitonga,labda upate mwanamke ana hela na anamjua Mungu.
 
Mwanamke huwaga haelewagi kama amekupa kwa hiyari au hauja mlazimisha.

Mwisho ya yote hela mwanamke ni Chungu sana,nawaone huruma wanaopenda vitonga,labda upate mwanamke ana hela na anamjua Mungu.
Uchebe ana kipato kidogo sio kwamba nimpenda kitonga shilole hakuwa na haja ya kwenda public kumsema kwani wakati ana date nae hakujua uwezo wa kifedha wa uchebe? Mpaka amdhalilishe mumewe
 
Uchebe ana kipato kidogo sio kwamba nimpenda kitonga shilole hakuwa na haja ya kwenda public kumsema kwani wakati ana date nae hakujua uwezo wa kifedha wa uchebe? Mpaka amdhalilishe mumewe
Mwanamke haelewi kuzalilisha cha msingi jifunze kupitia hilo.
 
Kwani kuwa msanii Ni lazima ushikwe matiti au upigwe madole?
Uchebe alimuoa shilole akiwa keshafanya yote hayo ikiwa na maana kwamba aliridhika nayo.
Pia hakuna sheria wala uhalali wowote kwa binadamu kumpiga binadamu mwenzie kwa sababu yoyote ile
 
kula na 'like' yangu kumbe ukiacha utimu wa kipuuzi una akili timamu
 
Wanaume wa kipindi hiki kama wanawake!

Kama tumefikia kutetea upuuzi wa shilole hakika tunapotea

Ukishakubali kuoa/kuolewa basi inabidi ukubaliane na kubadiri mienendo yako ya awali... SHILOLE ni mwanamke mpuuzi anastahili kupigwa hata yeye alishakiri hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…