Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Ila alivyokuwa anapigwa Nuhu Mziwanda ilikuwa sawa?.

Hata Barnaba alikuwa analia kila siku lakini hamkujitokeza kumtetea, leo karma imemkuta ndio mnamuonea huruma.
Two wrongs do not make a right.

Hutakiwi kuhalalisha mtu kupigwa leo kwa sababu mwingine alipigwa awali.

Alivyopigwa Nuhu Mziwanda uliniuliza nikatetea kupigwa kwake? Unajuaje kwamba hata nilijua alipigwa?

Yani unataka kunifanya sina maisha kila siku nafuatikia ma celebrity wote nani kapigwa leo?

Kichaa akila mavi, na wewe utasema ule mavi kama yeye kichaa na kula mavi ni sawa kwa sababu kichaa kala mavi?
 
Hao wote wanaomtetea shishi ni wapuuzi mno.
Huwezi kuhukumu kwa kuusikiliza upande mmoja hiyo sio sahihi hta kidogo.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Shilole hakuolewa bali alioa,uchebe aligharamiwa kila kitu alienda kuishi nyumban kwa shilole akiwa na kifanyio tu(nacho kikashindwa kazi ndani,nje kikafotoa kopiraiti)

Acha hizo wanaueme wangekua hivyo michepuko isingetapakaa nchini.sijui unaongelea wanaume wa aina gani
Me sioni kitu gani mnachomtetea unapoolewa lazima Kuna baadhi ya mambo lazima ubadilishe mfano sisi wanaume tunakuaga hatutulii na demu mmoja tunapokuwa hatujaoa ila tukioa lazima hiyo tabia tunacha tutastick na mke tu.
 
Hawa sio wasanii bali ujinga wao ndio uliowatambulisha , hawa wamejulikana kwa kujitoa ufahamu kwahiyo hayo mambo anayofanya ndio yaliyomtambulisha hana budi kuyaendeleza.
 
Ha haaa
Naona mmeshikia bango jamaa anakwepa kujibu mikono mizito.
[emoji23][emoji23][emoji23]
kuna wakati ukipigwa swali jf unaeza kuta vidole vinatetemeka na mapigo ya moyo yanaenda mbio kuliko ubongo unavyoweza kufikiri
 
Ila alivyokuwa anapigwa Nuhu Mziwanda ilikuwa sawa?.

Hata Barnaba alikuwa analia kila siku lakini hamkujitokeza kumtetea, leo karma imemkuta ndio mnamuonea huruma.
Two wrongs do not make a right.

Hutakiwi kuhalalisha mtu kupigwa leo kwa sababu mwingine alipigwa awali.

Alivyopigwa Nuhu Mziwanda uliniuliza nikatetea kupigwa kwake? Unajuaje kwamba hata nilijua alipigwa?

Yani unataka kunifanya sina maisha yangu kila siku nafuatilia ma celebrity wote nani kapigwa leo?

Kichaa akila mavi, na wewe utasema ule mavi kama yeye kichaa na kula mavi ni sawa kwa sababu kichaa kala mavi?
 
Wao ni mke na mume Leo watapigana kesho watanyanduana

Utaambia nini watu?
 
Kwani wakati shilole anaolewa akujua economic status ya uchebe?
 
Kwani uchebe wakati anaoa hakujua kazi ya shishi?
Yah alijua Ni msanii wa kuimba lakini sio msanii wa kushikwa matako,kupigwa madole na kuchezewa matiti yake huku akicheka akioneshwa anafurahishwa na anachofanyiwa na mshabiki wake.
 
Hayo yote shilole aliyafanya kabla ya ndoa kwan uchebe hakuona? Umario sio dili

Umarioo wa Uchebe uko wapi? Na inavyoonesha wewe Ni mwanamke usio na staha ndio maana unamtetea shilole hii michezo umezoea Sana lakini pia ujiulizi pamoja na michezo hii ya ujana wako lakini mume wako akakuoa?
 
Inaonekana wewe ni mario ndio maana unamtetea uchebe. Huyo boya kwa kuzuzuka na pesa za shishi akamtaliki mkewe wa kwanza,mwanamke ndo kwanza alikua ametoka kujifungua akatandikwa talaka zote bila kosa. Pambana na hali yako mario

Nilichogundua kutoka kwako Ni kwamba ujui kutofautisha Kati ya mtu kuwa na kipato kidogo na mtu kuwa Marioo.
 
Wewe jamaa umeanza kujua mambo ya mitandao hivi karibuni.

Haya mambo unayoyazungumza ni ya kitambo sana kabla hata hajawa na Uchebe.
 
Me sioni kitu gani mnachomtetea unapoolewa lazima Kuna baadhi ya mambo lazima ubadilishe mfano sisi wanaume tunakuaga hatutulii na demu mmoja tunapokuwa hatujaoa ila tukioa lazima hiyo tabia tunacha tutastick na mke tu.
Leta Clip ya Shilole anashikwa shikwa baada ya kuolewa na Uchebe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…