Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Faida ya kujulikana ni Nini? Mo Dewji no bilionea anajitangaza afanye biashara...awe Kiba sasa?🚮🚮🚮mkiitwa mbuzi mnatokwa povu.
sio kiba huyu anayepigiwa kelele kwa kuwa msiri msiri humu!!!
Faida ya kujulikana ni Nini? Mo Dewji no bilionea anajitangaza afanye biashara...awe Kiba sasa?[emoji706][emoji706][emoji706]
Jamani mbona kama unalia.!!!?Biashara gani anayo unayoijua wewe!! Yaani unaweza kuwa na jina halaf uwe a biashara halaf ufiche?;Sasa utapataje wateja? Umewahi kuona wapi? Akili za kiutopolo [emoji706][emoji706][emoji706]
Mi pia staki hata msikiaSi mkubali Ali
Mi pia staki hata msikia
Ile team ni kimvuli cha Kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya Kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!
Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!ile team ni kimvuli cha kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.
Hakuna cha msingi wa swali wala paa la swali. Mtu umempost hadi kwenye page zako Instagram na maneno kedekede ghafla unasema sikumualika is it makes sense mkuu.Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!
Yes it does.Hakuna cha msingi wa swali wala paa la swali. Mtu umempost hadi kwenye page zako Instagram na maneno kedekede ghafla unasema sikumualika is it makes sense mkuu.
Jibu hoja..acha kujichekeshaJamani mbona kama unalia.!!!?
Hebu kaombe uhouse boy kwa Kiba basi ili upate kujua maisha yake, naona anakusononesha unakosa raha,
[emoji23][emoji23][emoji23]
die hard fan nothing bad to kiba.Yes it does.
We nan mmeanza kumdharau semea upande wako weweUnashindana vipi na mwanamke kama siyo uboya?
Huoni madhara yake hata tuliokuwa tunampenda tumemdharau?
Sapoti ipi sasa na anakutambua?Naona muda mrefu unatafuta bwana kinguvu humu JF.
Wakati upo kijiji hata hujawahi kumiliki smartphone wala hujui JF ni nini huyo pimbi wako sisi tumempa sapoti ya nguvu.
Ali Kiba Fans' Special Thread...
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania. Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya...www.jamiiforums.com