Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

mkiitwa mbuzi mnatokwa povu.

sio kiba huyu anayepigiwa kelele kwa kuwa msiri msiri humu!!!
Faida ya kujulikana ni Nini? Mo Dewji no bilionea anajitangaza afanye biashara...awe Kiba sasa?🚮🚮🚮
 
Faida ya kujulikana ni Nini? Mo Dewji no bilionea anajitangaza afanye biashara...awe Kiba sasa?[emoji706][emoji706][emoji706]

Kiba ana magari nyumba ,na hela anazo japo sijui ni kiasi gani!!!

Una uhakika gani kama yeye binafsi hajatosheka.
 
Biashara gani anayo unayoijua wewe!! Yaani unaweza kuwa na jina halaf uwe a biashara halaf ufiche?;Sasa utapataje wateja? Umewahi kuona wapi? Akili za kiutopolo [emoji706][emoji706][emoji706]
Jamani mbona kama unalia.!!!?

Hebu kaombe uhouse boy kwa Kiba basi ili upate kujua maisha yake, naona anakusononesha unakosa raha,

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!

Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Ile team ni kimvuli cha Kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya Kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.
 
ile team ni kimvuli cha kiba, kwahiyo Jambo lolote wanalofanya wanafanya kwa niaba ya kiba. Kwahiyo kusema hakumualika ni sawa na kusema nimemkuta hayupo.
Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!
 
Hivi mlielewa msingi wa swali kweli? Au mmeamua tu kujitoa ufahamu!
Hakuna cha msingi wa swali wala paa la swali. Mtu umempost hadi kwenye page zako Instagram na maneno kedekede ghafla unasema sikumualika is it makes sense mkuu.
 
Hakuna cha msingi wa swali wala paa la swali. Mtu umempost hadi kwenye page zako Instagram na maneno kedekede ghafla unasema sikumualika is it makes sense mkuu.
Yes it does.
 
Naona muda mrefu unatafuta bwana kinguvu humu JF.

Wakati upo kijiji hata hujawahi kumiliki smartphone wala hujui JF ni nini huyo pimbi wako sisi tumempa sapoti ya nguvu.

Sapoti ipi sasa na anakutambua?
 
Back
Top Bottom