Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Huyu dada hua anawapaga nn mpaka wanaume zake wanakua kenge maji hviiii?????
Mkuu wanaume wa dar wamejaa njaa za kufa mtu ndo maana wanapigwa nyuma maana hawawez kabisa kufanya kaz
 
Udhalilishaji mkubwa sana. Iwe fundisho kwa Marioo wengine.
 
Wacha watandikwe! Si wanatafuta kutokea kwa Shishi!

Hata mwanamke anayetegemea mwanaume na yeye kukatandikwa ni ada yake!
 
Ukiolewa huwezi kuwa na sauti ,ukitaka kujua hayo angalia nyumba zinazoonekana Mwanamke kuwa na nguvu kiuchumi utaelewa.

Mwanaume unakaa na mwanamke hana kipato miaka ila sio mwanaume ukose kipato ni shida.
Hahahah kwa kweli, hii ni balaa ndio maana napambana nijikwamue kabla sijamiliki mke. Mwanamke siku zote hayawezi madaraka aisee, akiyapata lazma mtu anyanyasike tu
 
Hahahahah huyu shilole nae dah...this is too much! Akija kwangu hio siku anarusha kofi nitamfanya hakuna mbona. Ntampiga kama ME mwenzangu maana hana adabu. Combination ya nakoz na ndoo yani lazma nimvujishe michuzzzz ili shilawadu waongee vizuri
Mi angetest kwangu ningemtisha na right 'jebu' akajaa then naingia na left hook katafunua lazima aende chini ila kAbla ya kufika chini atasindikizwa na mawashi geri iliyorushwa kistadi na kumfanya aanguke kama tenga la viazi ulaya. Shabash, siwez pigwa nwanamke ati!
 
Ingekua ni huyo shilole kapigwa ungesikia udhalilishaji wa kijinsia
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu


Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan


Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu


KAZI KWENU MARIO

chanzo global


LONDON BABY
dawa ya hawa marioooo ni kuwapiga dole la kati mbele ya kadamnasi.. shishi anawapendelea sana kwa kuwagonga mikofi.
 
Kimsingi huyo jamaa anastahili kupigwa tu, mwanaume anaachaje familia yake kwa sababu ya shilole?
Unajua kuna watu kama wamerogwa vile, yaani Single mother anifanye niitelekeze familia yangu?
Hata kama sio single mother aisee
Kuna mambo unatakiwa kujiwekea mkataba mbele ya Mungu
Sensa ya wanaume halisi iitishwe
 
Mi angetest kwangu ningemtisha na right 'jebu' akajaa then naingia na left hook katafunua lazima aende chini ila kAbla ya kufika chini atasindikizwa na mawashi geri iliyorushwa kistadi na kumfanya aanguke kama tenga la viazi ulaya. Shabash, siwez pigwa nwanamke ati!
Aahahahaha kwa kipigo hiki lazma mgawane majengo ya serikali
 
Si ndo alikua analalamika nuh mziwanda
 
Avumilie tu lakni papuchi si anapiga au
 
Back
Top Bottom