Hahahah kwa kweli, hii ni balaa ndio maana napambana nijikwamue kabla sijamiliki mke. Mwanamke siku zote hayawezi madaraka aisee, akiyapata lazma mtu anyanyasike tuUkiolewa huwezi kuwa na sauti ,ukitaka kujua hayo angalia nyumba zinazoonekana Mwanamke kuwa na nguvu kiuchumi utaelewa.
Mwanaume unakaa na mwanamke hana kipato miaka ila sio mwanaume ukose kipato ni shida.
Mi angetest kwangu ningemtisha na right 'jebu' akajaa then naingia na left hook katafunua lazima aende chini ila kAbla ya kufika chini atasindikizwa na mawashi geri iliyorushwa kistadi na kumfanya aanguke kama tenga la viazi ulaya. Shabash, siwez pigwa nwanamke ati!Hahahahah huyu shilole nae dah...this is too much! Akija kwangu hio siku anarusha kofi nitamfanya hakuna mbona. Ntampiga kama ME mwenzangu maana hana adabu. Combination ya nakoz na ndoo yani lazma nimvujishe michuzzzz ili shilawadu waongee vizuri
dawa ya hawa marioooo ni kuwapiga dole la kati mbele ya kadamnasi.. shishi anawapendelea sana kwa kuwagonga mikofi.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu
Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan
Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu
KAZI KWENU MARIO
chanzo global
LONDON BABY
Sensa ya wanaume halisi iitishweKimsingi huyo jamaa anastahili kupigwa tu, mwanaume anaachaje familia yake kwa sababu ya shilole?
Unajua kuna watu kama wamerogwa vile, yaani Single mother anifanye niitelekeze familia yangu?
Hata kama sio single mother aisee
Kuna mambo unatakiwa kujiwekea mkataba mbele ya Mungu
Ahhhh kumbe hawa wanaume wa dar ni magari ya kusukuma ndo manaaaaaMkuu wanaume wa dar wamejaa njaa za kufa mtu ndo maana wanapigwa nyuma maana hawawez kabisa kufanya kaz
Sasaaa safi tenaaaaaSafi sana Shishi...
Ha ha ha ha haMkuu mimama kama hii huwa inalazimisha wavulana kulamba papuchi.Kisa tu ina pesa
Ya Uchebe akipigwa vibaoVideo ya kitu gan mkuu
Aahahahaha kwa kipigo hiki lazma mgawane majengo ya serikaliMi angetest kwangu ningemtisha na right 'jebu' akajaa then naingia na left hook katafunua lazima aende chini ila kAbla ya kufika chini atasindikizwa na mawashi geri iliyorushwa kistadi na kumfanya aanguke kama tenga la viazi ulaya. Shabash, siwez pigwa nwanamke ati!