ibr_the_brain
Member
- Jun 28, 2015
- 26
- 21
Na mimi nimeona koneksheni hapa! Hii kitu inahathiri sana watu, sijui kwa nini hawaipulizi wakiwa wanaenda lala, wanaamua kuipuliza mchana? Sijui hata!
Nuhu buana.Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo wakaamua kumfungia ila wenye busara zao wakamtumia kwenye kampeni za CCM ambapo single handedly aliwasaidia kushinda.
Sasa umaarufu wa Shishi baby umemsaidia Samata kusajiliwa na Genk fc na wengine watafta wengi tu haswa pale shishi atakapoenda Brussels early next year kufanya show katika uwanja unaomilikiwa na team hiyo.
Mwenye masikio asikie na mwenye macho aone, na wewe samatta usimpomshukuru shishi in public tutatoa barua ya Genk fc team inayosema imekusajili sababu waliisikia Tanzania mara ya kwanza baada ya kuhudhuria show ya shilole.
inamaliza vijana hiikituNa mimi nimeona koneksheni hapa! Hii kitu inahathiri sana watu, sijui kwa nini hawaipulizi wakiwa wanaenda lala, wanaamua kuipuliza mchana? Sijui hata!
Shoo ya watu 28000??? duh alifanyia kwenye uwanja wa mpiraAnayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo wakaamua kumfungia ila wenye busara zao wakamtumia kwenye kampeni za CCM ambapo single handedly aliwasaidia kushinda.
Sasa umaarufu wa Shishi baby umemsaidia Samata kusajiliwa na Genk fc na wengine watafta wengi tu haswa pale shishi atakapoenda Brussels early next year kufanya show katika uwanja unaomilikiwa na team hiyo.
Mwenye masikio asikie na mwenye macho aone, na wewe samatta usimpomshukuru shishi in public tutatoa barua ya Genk fc team inayosema imekusajili sababu waliisikia Tanzania mara ya kwanza baada ya kuhudhuria show ya shilole.
Wiki ilopita baada ya Mbwana kusemekana anatakiwa na Gent, alihojiwa na kuulizwa vipi mademu waliokutosaga wanakuchikuliaje, Samata alisema katoswa sana enzi hizo ila kwa sasa hajawahi kukutana nao! SHISHY BABY naona anajaribu kurekebisha ule msemo YALIYOPITA SI NDWELE........!Shishi baby amekuwa Mendez eeeeh?
asante kwa kunielewa,shishi ni legendary wa music hata zile wanaita sijui music notes anazijua vizuri kabisaLipo wazi ilo Mkuu maatope bila jitihada za shishi kututangaza ubelijiji samatha soka la ulaya angeliskia kwenye bomba ..pongezi za dhati ziende kwakee shishiii babiii upo juu sana mwaka huu tunataka vijana zaidi waende ukoo.
Best fimale artist in Afrika? Labda best female artist in Igunga! Kwa wimbo gani au muvi gani awe best female artist zaidi ya kuanika mackalio na kugawa gawa mbunye? Kama vipi, awe porn actress, atauza sana kwa mwaka, baada ya hapo, atakuwa expired!wanamfanyia roho mbaya lakini ndiye best female artist in Africa
Wewe unataka kei yake, hamna jinsi hapa! Notes unakili huzijui ila unadai shishy anazijua, umetambuaje anazijua?asante kwa kunielewa,shishi ni legendary wa music hata zile wanaita sijui music notes anazijua vizuri kabisa