Shilole amsaidia Mbwana Samatta

Shilole amsaidia Mbwana Samatta

Siandiki chochote hapa! Na delete haya maandishi baada ya kusubmit tu, maana sioni point uliyoongea hapa!
 
Ha ha ha eti waliisikia Genk fc team waliisikia Tanzania mara ya kwanza baadaya kuhudhuria show ya shilole. Hii aibu utaificha wapi wewe?
 
Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo wakaamua kumfungia ila wenye busara zao wakamtumia kwenye kampeni za CCM ambapo single handedly aliwasaidia kushinda.

Sasa umaarufu wa Shishi baby umemsaidia Samata kusajiliwa na Genk fc na wengine watafta wengi tu haswa pale shishi atakapoenda Brussels early next year kufanya show katika uwanja unaomilikiwa na team hiyo.

Mwenye masikio asikie na mwenye macho aone, na wewe samatta usimpomshukuru shishi in public tutatoa barua ya Genk fc team inayosema imekusajili sababu waliisikia Tanzania mara ya kwanza baada ya kuhudhuria show ya shilole.
Nuhu buana.
 
Shoo ya watu 28000??? duh alifanyia kwenye uwanja wa mpira
 
Shishi baby amekuwa Mendez eeeeh?
Wiki ilopita baada ya Mbwana kusemekana anatakiwa na Gent, alihojiwa na kuulizwa vipi mademu waliokutosaga wanakuchikuliaje, Samata alisema katoswa sana enzi hizo ila kwa sasa hajawahi kukutana nao! SHISHY BABY naona anajaribu kurekebisha ule msemo YALIYOPITA SI NDWELE........!
 
Lipo wazi ilo Mkuu maatope bila jitihada za shishi kututangaza ubelijiji samatha soka la ulaya angeliskia kwenye bomba ..pongezi za dhati ziende kwakee shishiii babiii upo juu sana mwaka huu tunataka vijana zaidi waende ukoo.
 
Safi sana Shishi beibe nakukubali sana zaidi ya sana.
 
Lipo wazi ilo Mkuu maatope bila jitihada za shishi kututangaza ubelijiji samatha soka la ulaya angeliskia kwenye bomba ..pongezi za dhati ziende kwakee shishiii babiii upo juu sana mwaka huu tunataka vijana zaidi waende ukoo.
asante kwa kunielewa,shishi ni legendary wa music hata zile wanaita sijui music notes anazijua vizuri kabisa
 
wanamfanyia roho mbaya lakini ndiye best female artist in Africa
Best fimale artist in Afrika? Labda best female artist in Igunga! Kwa wimbo gani au muvi gani awe best female artist zaidi ya kuanika mackalio na kugawa gawa mbunye? Kama vipi, awe porn actress, atauza sana kwa mwaka, baada ya hapo, atakuwa expired!
 
asante kwa kunielewa,shishi ni legendary wa music hata zile wanaita sijui music notes anazijua vizuri kabisa
Wewe unataka kei yake, hamna jinsi hapa! Notes unakili huzijui ila unadai shishy anazijua, umetambuaje anazijua?
 
Back
Top Bottom