Mazuri anayo kuwa ni mkazaji huwa hanyooshi mikono kukubali kushindwa . bt huyu demu ni boya kichiziiiShilole ni mfano wa kuigwa na wakina dada.. From zero to hero
Music wiseMazuri anayo kuwa ni mkazaji huwa hanyooshi mikono kukubali kushindwa . bt huyu demu ni boya kichiziii
Kwahiyo tufanyeje..?SHILOLE AONYESHA UPENDO WAKE KWA NEDY MUSIC KWA KUTUMIA WIMBO WAKE.
SHILOLE ASEMA HAYA =>
Wanasema mtoto mdogo nimedata naye. Mwenye nguvu mithili ya mbogo siachane nae. Agahhhhaa mkufunzi wa mitindo anayajua na mambo. Agaah mguu chaga mguu neti naridhika. Lv ya mwendo kasi mtamu zaid ya nanasi, hana gasigasi wanfki mko wapi, ???? Wanafki ni wengi la ziziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uzeeee mwisho chalinze weeee nahegemaaaaa.#Mtotomdogo. #HatutoiKiki linki on
Kanusishwa kidogo[emoji3] [emoji85] [emoji39]We nae umeamua kuanzisha thread za Shilole tu leo, sijui ndio promo.
Alafu pia huwa ana ndoto, sema tu sijui JLO ameshau ishu ya kolabo?Mazuri anayo kuwa ni mkazaji huwa hanyooshi mikono kukubali kushindwa . bt huyu demu ni boya kichiziii