Shilole amsifia Nedy Music kimahaba

Shilole amsifia Nedy Music kimahaba

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
SHILOLE AONYESHA UPENDO WAKE KWA NEDY MUSIC KWA KUTUMIA WIMBO WAKE.

SHILOLE ASEMA HAYA =>

Wanasema mtoto mdogo nimedata naye. Mwenye nguvu mithili ya mbogo siachane nae. Agahhhhaa mkufunzi wa mitindo anayajua na mambo. Agaah mguu chaga mguu neti naridhika. Lv ya mwendo kasi mtamu zaid ya nanasi, hana gasigasi wanfki mko wapi, ???? Wanafki ni wengi la ziziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uzeeee mwisho chalinze weeee nahegemaaaaa.#Mtotomdogo. #HatutoiKiki linki on

We nae umeamua kuanzisha thread za Shilole tu leo, sijui ndio promo.
 
Shilole ni mfano wa kuigwa na wakina dada.. From zero to hero
 
Mazuri anayo kuwa ni mkazaji huwa hanyooshi mikono kukubali kushindwa . bt huyu demu ni boya kichiziii
 
SHILOLE AONYESHA UPENDO WAKE KWA NEDY MUSIC KWA KUTUMIA WIMBO WAKE.

SHILOLE ASEMA HAYA =>

Wanasema mtoto mdogo nimedata naye. Mwenye nguvu mithili ya mbogo siachane nae. Agahhhhaa mkufunzi wa mitindo anayajua na mambo. Agaah mguu chaga mguu neti naridhika. Lv ya mwendo kasi mtamu zaid ya nanasi, hana gasigasi wanfki mko wapi, ???? Wanafki ni wengi la ziziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uzeeee mwisho chalinze weeee nahegemaaaaa.#Mtotomdogo. #HatutoiKiki linki on

Kwahiyo tufanyeje..?
 
Lazima amsifie kama dogo anaenda Uvinza na kuzama chumvini .
 
Mazuri anayo kuwa ni mkazaji huwa hanyooshi mikono kukubali kushindwa . bt huyu demu ni boya kichiziii
Alafu pia huwa ana ndoto, sema tu sijui JLO ameshau ishu ya kolabo?
 
Back
Top Bottom