Shilole Ana Chombo Kipya, Mzungu

Shilole Ana Chombo Kipya, Mzungu

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo mbalimbali.

"Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza na hivi karibuni ataenda tena na amealikwa na huyo mchumba wake," kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili limekuwa la kwanza kunasa picha kadhaa za Shilole akiwa katika mapozi tofauti ya kimahaba na Mzungu huyo.

Baada ya chanzo hicho kumwaga '-----' huo, mapaparazi wetu walimtafuta Shilole ili aweze kufunguka ambapo bila kuumauma maneno, alikiri kuwa amepata mchumba huyo aliyemtambulisha kwa jina la Ankar.

Akizidi kumwaga data za boifrendi wake huyo, Shilole alisema awali walikutana kwenye moja ya shoo zake nchini humo ndipo urafiki ulipoota mizizi na kufikia hatua ya kuwa wapenzi.

"Kweli nina mchumba Mzungu ambaye ni raia wa Uingereza, nilipokuwa napataka nimefika, sipindui tena. Unajua muziki wangu na mauno yangu yanawavutia sana watu, siku ya kwanza aliniona kwenye shoo akanipenda ndipo tukaanzisha urafiki.

"Hivi karibuni nina safari ya kwenda nchini humo kwa mwaliko maalum alionipa, nitaenda peke yangu kwani safari nyingine zote zilizopita nilikuwa naenda na watu," alisema Shilole.

Source: bkuHABARI
 
Hivi neno rafiki limepoteA? MNAKUTANA STRAIGHT KWENYE UCHUNBA? KWELI MABINTI WENGI BWABWA.
 
Mbona kama mtu na shosti ake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
sikuhizi tunaitwa vyombo???:hug:
 
Huyu si Mzungu no shombe la Kizanzibar na Muingereza.
Ni SHOSTI na mkataji viuno maarufu tu.
 
asije akafanya mapenzi na mbwa wa huyo nazi,wazungu kwa tigo noma na hivyo kaliona t.ak.o linazunguka kama pia!
 

“Kweli nina mchumba Mzungu ambaye ni raia wa Uingereza, nilipokuwa napataka nimefika, sipindui tena . Unajua muziki wangu na mauno yangu yanawavutia sana watu, siku ya kwanza aliniona kwenye shoo akanipenda ndipo tukaanzisha urafiki.

Hapo pamenichekesha sana...dada zetu na wazungu tuu, hawajambo! Kila la kheri Shiloh...
 
Ndo maana hataki kurudi igunga chezea --oo za kizungu wewe
 
Back
Top Bottom