Shilole Ana Chombo Kipya, Mzungu

Shilole Ana Chombo Kipya, Mzungu

why dont u just mind ur ----en business and let her ----/date whoever she wants?
 
Wabongo acheni gere....hahahahahha viroho vinawaumaaaa watu.
😀:sly::sly:
 
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo mbalimbali.

“Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza na hivi karibuni ataenda tena na amealikwa na huyo mchumba wake,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili limekuwa la kwanza kunasa picha kadhaa za Shilole akiwa katika mapozi tofauti ya kimahaba na Mzungu huyo.

Baada ya chanzo hicho kumwaga ‘-----’ huo, mapaparazi wetu walimtafuta Shilole ili aweze kufunguka ambapo bila kuumauma maneno, alikiri kuwa amepata mchumba huyo aliyemtambulisha kwa jina la Ankar.

Akizidi kumwaga data za boifrendi wake huyo, Shilole alisema awali walikutana kwenye moja ya shoo zake nchini humo ndipo urafiki ulipoota mizizi na kufikia hatua ya kuwa wapenzi.

“Kweli nina mchumba Mzungu ambaye ni raia wa Uingereza, nilipokuwa napataka nimefika, sipindui tena. Unajua muziki wangu na mauno yangu yanawavutia sana watu, siku ya kwanza aliniona kwenye shoo akanipenda ndipo tukaanzisha urafiki.

“Hivi karibuni nina safari ya kwenda nchini humo kwa mwaliko maalum alionipa, nitaenda peke yangu kwani safari nyingine zote zilizopita nilikuwa naenda na watu,” alisema Shilole.

Source: bkuHABARI

Huyo ni shoga Maarufu ktk Mji wa NORTHAMPON, UK anaitwa ANKARI ADAMA..Sio mzungu ni Half Cast wa ki Naigeria na Muingereza, Ni maarufu sana kwenye vibao kata na kitchen party nyingi hapa Uk kwakuwa ni bingwa wa kukata mauno kama Aunt Bilali wa Bongo, Kwa sasa anaishi hapo Northampton na bwana wake nikimaanisha mwanaume mwenzake ambaye wameoana na wanaisha kinyumba.! Mambo ya Cameroon hayoooo...MENGINE MUACHIE BABA NA BABA

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
Hongera lakini jiandae siku akichoka uwe tayar kuliwa na mbwa wake,hilo ni jambo la kawaida kabisa kwa wao hasa wakiwa na wake waafrica.pia maswala ya 0713....ni kama kawaida afu pia groupsex itakuhusu,lakini pia kumbuka hawajakatwa magovi na akienda sana dakika 10,hapo mpaka wiki ijayo,
 
2014 bado mapema tuwe na subira tutaona mengi sana
 
Huyo ni shoga Maarufu ktk Mji wa NORTHAMPON, UK anaitwa ANKARI ADAMA..Sio mzungu ni Half Cast wa ki Naigeria na Muingereza, Ni maarufu sana kwenye vibao kata na kitchen party nyingi hapa Uk kwakuwa ni bingwa wa kukata mauno kama Aunt Bilali wa Bongo, Kwa sasa anaishi hapo Northampton na bwana wake nikimaanisha mwanaume mwenzake ambaye wameoana na wanaisha kinyumba.! Mambo ya Cameroon hayoooo...MENGINE MUACHIE BABA NA BABA

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums

Kitu cha kwanza nilipotazama picha nikajua hilo shoga
 
Huyo ni shoga Maarufu ktk Mji wa NORTHAMPON, UK anaitwa ANKARI ADAMA..Sio mzungu ni Half Cast wa ki Naigeria na Muingereza, Ni maarufu sana kwenye vibao kata na kitchen party nyingi hapa Uk kwakuwa ni bingwa wa kukata mauno kama Aunt Bilali wa Bongo, Kwa sasa anaishi hapo Northampton na bwana wake nikimaanisha mwanaume mwenzake ambaye wameoana na wanaisha kinyumba.! Mambo ya Cameroon hayoooo...MENGINE MUACHIE BABA NA BABA

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums

ha ha ha ..watu mna data. kwa hiyo shilole kaopoa shog.?
 
Haa
Anahaha Wakati Mwingine Anajichosha Tu
 
Back
Top Bottom