shilole apata aibu mtandaoni

shilole apata aibu mtandaoni

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,284
Reaction score
1,221
Gumzo at 12:57 AM
SHILOLE AAMBULIA
MATUSI MARA MAADA YA
KUANDIKA KIINGEREZA
CHA UGOKO
MTANDAONI...
WAMWAMBIA KUWA
KIINGEREZA NI WITO..!!
Shilole aliamua kutandika yai
kwenye Instagram, ili kuzipa
uzito shukrani zake za dhati kwa
muongozaji wa video yake ya
‘Nakomaa na Jiji’ itakayotoka
Jumamosi hii, Nisher. Bahati mbaya, yai lake
lilivunjika mapema wakati
lilipokuwa likiufikisha ujumbe
huo na kuwafanya watu
waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha
hiyo, ni kwamba Shilole
aliandika Kiingereza
kilichokosewa sarufi aka Broken
English.
Shilole aliandika : I did ever
think I would do a nice video
like this thank you alot to my
director Nisherbybee.

KIINGEREZA NI WITO teh teh teh
cc: heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Kingreza wito wajameni sa siku ya kutoa Kolabo na Jeniffer Ropez

mode of communication itakua ipi

ha ha ha yaani nimecheka,,,nimeduwaa .....
hv kwann wanapenda sana kuchanganya hz lugha ilhali hawajui??? is english superior language?? nafundisha english mwaka wa tatu sasa bt cjaona umaarufu wa kuongea hii lugha khaaa waje tuwafundishe lol
 
aje apate tuition ya Buree........

Kingreza kimekuja kwa ndege huku aongee kiswahili watu tumuelewe
 
Hivi ile colabo yake na jlo imeishia wapi?
 
Tukiacha hicho kingereza chake kwa matendo yake sikuwai kufikiri kama ana akili timamu.
 
Tukiacha hicho kingereza chake kwa matendo yake sikuwai kufikiri kama ana akili timamu.

ha ha ha hv kaz zake n zipi? muigizaji,,muimbaji au?? mi namsikiaga tu kwakwel ila sijawai kuona kaz yake yoyote
 
May be its typing error bwana,mwacheni shilole wa watu,mi nilijua kakosea wakat anaongea kumbe kuandika?? We all make errors sometimes kwenye maandishi,au mnatak kumuangusha asifanye collabo na Jlo??,acheni wivu bwana..
 
ha ha ha mkuu hiyo ni grammatical error na inaonesha kingleza hajuwi
 
Huo ni umbulula hakuna lugha tamu duniani km kiswahili..nilikutana na mjaluo mmoja tax drver nairobi alipo sikia swahili langu mwenyewe kakubali kasema kiswahili ya mu tz ni tamu kama nyamachoma ss nyie mnajifanya wadhungu haya bana
 
well mkuu
 
Back
Top Bottom