Niubwege tu wa baadhi ya watu kuongea/kuandika kiingereza sio usomi kwasababu hii nayo ni lugha kama zilivyo lugha nyingine sema tu imepewa promo zaidi,hebu waache kuleta aibu waandike tu kiswahili aaagrrrrrrrwanapenda kithungu waonekane wasomi
Siku ile nilivyomsikiliza akiwa anahojiwa na zamarad kuhusu hiyo nikaona hapa hakuna cha kolabo, huyu dada anatuwakilisha hasa watu kutoka uswazi maana bado anatabia za kiswazi na pengine hazitamtokaatawezaje kushiriki na JLO kama the the nyingi hivyoo??
The ugly truth ni kwamba wengi wa wasanii wetu hawakupita shule ndio tatizo kuu. I could list here list ya wasanii wa nje, mostly ni college/university graduates wenye magamba yao!
Siku ile nilivyomsikiliza akiwa anahojiwa na zamarad kuhusu hiyo nikaona hapa hakuna cha kolabo, huyu dada anatuwakilisha hasa watu kutoka uswazi maana bado anatabia za kiswazi na pengine hazitamtoka
Niubwege tu wa baadhi ya watu kuongea/kuandika kiingereza sio usomi kwasababu hii nayo ni lugha kama zilivyo lugha nyingine sema tu imepewa promo zaidi,hebu waache kuleta aibu waandike tu kiswahili aaagrrrrrrr
Kingreza wito wajameni sa siku ya kutoa Kolabo na Jeniffer Ropez
mode of communication itakua ipi
Hivi ile colabo yake na jlo imeishia wapi?
atawezaje kushiriki na JLO kama the the nyingi hivyoo??
hahahahaaaaaaa mkulu naye wakuchoma sana kamusinaona ina sound mkuu hukumbuki kuna cku mkulu nae aliteleza akasema manufacturing teachers lol
Kama tutachekana hivyo hatufiki mbali nafikiri wanaomcheka sana ni wale wale kama yeye.mbona hata wazungu wenyewe sio wanaojua kiingereza fasaha lakini sidhani kama mngewakebehi
vipi kuhusu watu wanaokosea kiswahili huwa unawakosoa?
aje apate tuition ya Buree........
Kingreza kimekuja kwa ndege huku aongee kiswahili watu tumuelewe