shilole apata aibu mtandaoni

May be its typing error bwana,mwacheni shilole wa watu,mi nilijua kakosea wakat anaongea kumbe kuandika?? We all make errors sometimes kwenye maandishi,au mnatak kumuangusha asifanye collabo na Jlo??,acheni wivu bwana..

naunga mkono hoja huenda ni tyoing error tu, lol
 
Kikristo bwana wewe kina wenyewe! Call a spade,spade!
 
Nimeipenda avatar yako imenifanya nicheke
 
Sikutarajia kama ningeweza kuja kutungeneza video nzuri kama hii asante sana mtarajishi wangu nisher
 
atawezaje kushiriki na JLO kama the the nyingi hivyoo??

kwani Fally Ipupa,Yosou Ndour,Selif Keita wanajua kiingereza?mbona wanafanya collabo na wanyamwezi?music is a universal language
 
kwani Fally Ipupa,Yosou Ndour,Selif Keita wanajua kiingereza?mbona wanafanya collabo na wanyamwezi?music is a universal language
:frusty: :frusty: :frusty: :A S-confused1:
 
Sikutarajia kama ningeweza kuja kutungeneza video nzuri kama hii asante sana mtarajishi wangu nisher
ha ha ha mkuu naona umeamua kumuwekea sawa
 
Kingreza wito wajameni sa siku ya kutoa Kolabo na Jeniffer Ropez

mode of communication itakua ipi

kwani Fally Ipupa,Yosou Ndour,Selif Keita wanajua kiingereza?mbona wanafanya collabo na wanyamwezi?music is a universal language
 
It is a good start, She will improve next time. Keep it up Shilole! Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums

i like ur spirit...you don't sound like mbongo...kawaida ya wabongo mtu akikosea ni kuchekwa na kukatishwa tamaa kama post nyingi katika huu uzi zinavyoonyesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…