shilole apata aibu mtandaoni

wabongo hizo ndio zetu,c o kwenye hicho kizaramo tu peke yk.mambo mengi 2po hivyo!? cjui 2melogwa cc..? ovyoooooooooooo.
 
Msicheke....soneni hotuba ya jk alipokuja obama ndo mtajua kama kiingereza ni rahisi au kigumu
 
Kiingereza ni kigumu jamani, msimcheke.
 
mbona kimekaa poa tu kwa mbongo, ingekuwa amekosea kiswahili kweli tungemcheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…