beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Narudia tena, ulichoandika ni uongo na upuuzi mtupu. Prove me wrong kwa kutoa mifano halisi. Vinginevyo kaa kimya, hujui lolote.we ni mmojawapo wa watukanaji wehu wasiojua kujenga na kuvunja hoja ki weledi. Unajua zamani mwanafunzi akipata one tanzania nzima mtamjua anatoka shule gani? Watu walikuwa wanapata A masomo yote mpaka option halafu wakubwa wanakuchagulia uende kusomea nini licha ya wewe kuwa una mchepuo gani unaoupenda. Kanuni za uandishi zinanibana siwezi kutaja majina na shule zilizotoa tanzania one enzi hizo. Usilete ubishi kutukana wakunga uzazi ungalipo
Who are you? Have a look, see what is a perspective in its contexlization. Read it between lines. Times have changed to its routineNarudia tena, ulichoandika ni uongo na upuuzi mtupu. Prove me wrong kwa kutoa mifano halisi. Vinginevyo kaa kimya, hujui lolote.
I am somebody who can smell bullshit from a mile away, and you have just spew a big bunch of it.Who are you? Have a look, see what is a perspective in its contexlization. Read it between lines. Times have changed to its routine
even you, shut up your mouth like structured shithole.I am somebody who can smell bullshit from a mile away, and you have just spew a big bunch of it.
Ha ha haaa ...even you, shut up your mouth like structured shithole.
Form four una masomo tisa wengine mpaka masomo 12 ( computer,French ,masomo ya dini, Additional Maths, Food )nk na unahitaji upass masomo Saba tu kwa mantiki kwamba uoate B 4 na C3 tu uwe imepata division one ,ugumu upo wapi hapo?Div 1 ya form four hiyo ndio ngumu kuipata... ila hii ya form six tena hizi comb za arts ukikosa ni uzembe mkubwa sana.
Alikuwa bado hajajipata kwa sasa ana mpunga mrefu sanaKama ada ya shule za kibongo tu aliuza hadi thamani zake za ndani mixer kujirisk hadi yeye mwenyewe🤔
Ndio asomeshe mtoto aache kubwabwaja mitandaoniAlikuwa bado hajajipata kwa sasa ana mpunga mrefu sana
Kitendo tu cha kutomfanya bintiye kuwa public figure ama celeb kilidhihirisha kuwa wapo watu maarufu wenye skendo za kumwaga lakini hawako tayri watoto wao waishi kama wao. Shilole ni mfano wa hao. Na sikumbuki kama aliwahi kuzunguka media tofauti tofauti akimnanga baba wa mtoto kuwa hatoi matumizi. Ninachokumbuka ni kuwa aliwahi kubakwa na kupata mimba na hiyo ikapelekea kukatisha masomoMama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi nje.
Shilole kasema mwanae anampeleka Canada akasome biashara ili aje amsaidie kuendesha ofisi zake kwa sababu ana mpango wa kufungua matawi mengine.
Shilole amesema kwenye kusomesha wakati anajitafuta ameshaweka hadi hati ya nyumba kwaajili ya watoto wake, Shilole amesema amejirisk vitu vingi sana katika kutafuta ada za watoto wake ikiwemo kuweka vitu rehani kama TV nk.
Shilole amesema katika kusomesha mama anaweza kujirisk hata yeye mwenyewe kwaajili ya mtoto.
Video kwa hisani ya Millard
PK mbona sijamuona hapoYani huyuhuyu Shilole akicheza nusu uchi na strong man Paul Kagame Ubelgiji? Yani nilipoona hii picha nimemdharau Kagame. Nilidhani Kagame hapendi upuuzi.
Proved Jestkilla zitto junior Smart911 Victoire King Kong III
View attachment 2687560
wacha tusake doo kwanzaMchumba wetu wa baadae huyo
Wewe ni kipofu basi.PK mbona sijamuona hapo
Usikute div 1 yenyewe ya HKL