Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909
Huyo binti chenga sana baada ya kufikiria kuongeza juhudi na ubunifu ili nyimbo zake ziwe nzuri yeye anahangaika kuonekana kwenye video ya msanii mwingine!
Hivi ni kwa nini Wahaya huu mchopoano wa h- na irabu za Kiswahili unawashinda kabisa? Na kusoma kote huko na majigambo yote hayo? Sasa HAWE ndiyo nini? Hangekuwa ni Kiswahili? Mnaudhi!...alitaka yeye ndio HAWE video Queen........Ila anaamini hangekuwa yeye...
Dah ilo pozi mbna una tutega cyeee marijari....... gentles......heh vp...........!!!!!!!!Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909
Zalula au dharura.basi mwambie shishi siku nyingine asipate zalula
Tz hata Swahili lang. watu bado shida.Wanajua kuongea tu "nina udhuru sitakuja" katika kuandika ni shida.Mi ningechangia ila bahati mbaya nimepata "zalula"!!.
Mkuu usikariri huko mbelembele tunakoiga mastaa wakubwa kibao wanatokea kuigiza ktk video za wasanii wengine kama NAS kuza sura video ya Right By My Side ya Nick Minaj. Zipo kibao tu hiyo niliyokupa ni mfano mmoja tu.Huyo binti chenga sana baada ya kufikiria kuongeza juhudi na ubunifu ili nyimbo zake ziwe nzuri yeye anahangaika kuonekana kwenye video ya msanii mwingine!