Shilole asema chupuchupu awe Salome kwenye video ya Diamond

Shilole asema chupuchupu awe Salome kwenye video ya Diamond

umeandika pumba,you haven't awarded any trophy
 
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909

Hawe-awe
Hangekua-angekua
 
...alitaka yeye ndio HAWE video Queen........Ila anaamini hangekuwa yeye...
Hivi ni kwa nini Wahaya huu mchopoano wa h- na irabu za Kiswahili unawashinda kabisa? Na kusoma kote huko na majigambo yote hayo? Sasa HAWE ndiyo nini? Hangekuwa ni Kiswahili? Mnaudhi!
 
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909
Dah ilo pozi mbna una tutega cyeee marijari....... gentles......heh vp...........!!!!!!!!
 
We mtoa mada ni kipofu au utakua ww ndio shilole,
Eti shilole ndio mwenye mvuto kulik wote africa mashariki,

Maaanina, kumbe hujaona vifaa wewe
 
Tumekuelewa shishi. Umeweza kujisifia vizuri tuu.

Ushauri wangu kwako, Rudi shule ukasome hivi vitu vidogo vinavyokuangusha. Amini maneno yangu utafika mbali sana. Hujachelewa mama. Nasikitika unaharibu mwenyewe.
 
Hmmm shilole bana kama salome isingefanya vyema nahisi comments zingekua hamna ila imehit thats y kila mtu anajifagilia hata mimi ni salome ila kwa mpenzi wangu nipewe likes [emoji23]
 
Kuna haja ya kuanzisha mahakama kwa wanao chafua lugha kama hawa iwe faini au kifungo au vyote viwili.
 
Huyo binti chenga sana baada ya kufikiria kuongeza juhudi na ubunifu ili nyimbo zake ziwe nzuri yeye anahangaika kuonekana kwenye video ya msanii mwingine!
Mkuu usikariri huko mbelembele tunakoiga mastaa wakubwa kibao wanatokea kuigiza ktk video za wasanii wengine kama NAS kuza sura video ya Right By My Side ya Nick Minaj. Zipo kibao tu hiyo niliyokupa ni mfano mmoja tu.
 
Aache kutafuta kiki. Mondi alipotoa Nasema Nawe na Khadija Kopa alisema ilikuwa awe yeys akawa busy ndo akatafutwa Kopa.
 
Back
Top Bottom