Shilole asema kamwe hatoagiza nguo mtandaoni tena.

Sasa yy maziwa yake yamelala anategemea nn lzm imkae vibaya tuu wanaovaa izo ngua wenyewe chuchu sa sita kitu mchongoma lzm itamkaa frsh tuu sasa ww lapa ilo unazani nguo itakukaa frsh.
 
Shilole bana, ukashindwa hata kuvaa bra isiyo na mikanda!
 
Hahahahaha. Shish haachi vituko sasa hakujion alivyovaa home au ndo kioo hakidanganyi
 
Huyo dada na kandambili zke ambazo zimelegea utafukiria bibi kizee aache ujinga,kwani alipojaribu akaona kandambili hazienei kwanini alivaa
 
Shilole anajua kusoma vipimo vya nguo? Maana anaweza kulaumu mitandao wakati tatizo kitu kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…