Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elimu ipo lakini?
Aende magogoni na kanga moja. Mzee akiona ule weupe basi na ukuu wa wilaya anazawadiwa hapo hapo.Kweli sasa nchi hii inaelekea pazuri.
Atume barua ya maombi kwa mzee baba.
Yajayo tunayasubiria.
Tofauti na ubunge . Hii nafasi inatakiwa atleast mtu awe amefika advance.Hivi sifa ya Ukuu wa wilaya ni kujua kusoma na kuandika
Afu wanashindwa kuelewa.. Mwenzao elimu kichwani ipo na pia ana exposure.. So thinking capacity yake iko poa ndo maana unaona hata hiyo nafasi pamoja na kwamba watu tulidhani hataimudu but amejitahidi sana kwa kweli. Sasa huyu sijui ndo shilole sidhani hata darasa la nne kama alifika.Ajiandae 2020 agombee udiwani.... anajisemesha ili ateuliwe tu from nowhere.
Mwenzie alipambana hakupata bure.