Shilole atangaza nia kugombea ubunge Igunga kwa tiketi ya CCM. Apokea simu na sms za vitisho

Mimi nimeishia kucheka ati "baada ya rostam basi wananchi wengi wamekuwa wakinipigia cm wakinitaka nigombee"...!
 
Kwa mwendo huu tutarajia viraza wengi bunge la 2016, na ambavyo hajui kujielezea sijui itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…