PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Nafikiria nikamfungulie kesi mahakama ya ICC huyu Baba LevoBaba levo ujumbe umeupata ufanyie kazi.
Mi sikubali...
Hahahah huyo baba levo ameyataka mwenyewe .
Hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke
Anawawakilisha wanaume kutoka kigoma.Nafikiria nikamfungulie kesi mahakama ya ICC huyu Baba Levo