Shilole atoa kauli nzito kuhusu Baba Levo, amfananisha na Mwanamke!!!

Shilole atoa kauli nzito kuhusu Baba Levo, amfananisha na Mwanamke!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Shilole amesema Baba Levo anamchukulia kama mwanamke mwenzake kwani anaweza akalala naye kitanda kimoja asimfanye kitu.




189e2ddd0a0d696f0fd7e972a9795334.jpg

30d28604b5c9f53614f5a0d8812f01be.jpg
 
Nafikiri alimaanisha wamezoeana sana halafu hawa ni watani sana na ni watu wakaribu sana kwa hiyo ukizijali sana habari zao unaweza kupasuka kichwa bure....
 
Baba levo ujumbe umeupata ufanyie kazi.
Mi sikubali...
 
Haya ndio madhara ya kuzidisha ukaribu na ke unashindwa kula mzigo eti rafiki huwo ni uboya
 
Mbona kwenye hio picha wameloa mijasho,ndio kusema hakuna hata Fan au AC
 
Hahahah huyo baba levo ameyataka mwenyewe .

Hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke
 
Back
Top Bottom