Shilole Ayasifia Makalio Yake Na Kudai Kuwa Ni Original

Shilole Ayasifia Makalio Yake Na Kudai Kuwa Ni Original

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Shilole ameingia katika akaunti yake ya Instagram na kusema kuwa makalio yake ni original. Alijaribu kuwadiss mahasimu wake ambao anawadhania kutumia chupi bandia kuonekana na makalio makubwa.

Picha ya Instagram cheki hapa

Chanzo SHILOLE AYASIFIA MAKALIO YAKE: NI ORIGINAL ) - bkuHABARI
 

Attachments

  • SHHHHH.png
    SHHHHH.png
    189.2 KB · Views: 1,260
Ahaaa,kumbe vikalio,je wenye inye gwedegwede??;
 
mbona hamna hata ini la kutisha hapo
 
Instagram kuna vitukoo yaan ni kushindanaa kupiga pichaa tuu
 
Huto tukalio tu.... hata Nyani Ngabu anamzidi kwa kijungu.
 
Last edited by a moderator:
Makalio au vikalio pumbavuu zake nikajua nakuta bonge la mgongo kumbe....!
 
Back
Top Bottom