Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?