Pre GE2025 Shilole azindua mama lishe na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia:
Shilole amesema ameamua kuonesha vitendo katika kufanikisha nia njema ya Rais Dkt Samia Suluhu na kufikia malengo ya kufikisha nishati safi kwa Wananchi wote ikiwemo Mama Lishe ambao wanawahudumia Watanzania walio wengi.

Your browser is not able to display this video.
 
Kikubwa hapa sio chakula pekee bali chakula kizuri. Huyu Dada chakula chake sio kizuri ni mawali na chips za kukaanga na sio maziwa, mayai, magimbi na mboga mboga ambazo zinahitajika kwa kaja. Yeye mwenyewe tunamuona umbo lake kwa anayo kula
 
πŸ˜„ πŸ˜„ mama mama mama mama
🎢 🎡 mama mama mama mama
🎢 🎡 🎸

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…