Usijali niombee mwakani singo yangu i-hit tutaenda
Hahahahhaaaa...kutoka igunga hadi ulaya bila shule kichwani ni kazi ujue....
kati ya watu wenye bahat duniani, shilold mi mmoja wapo, maana sauti hana wala hicho kiuno anachojidai kuwa nachp hana, ni kwa kuwa nyimbo zake zinakuwaga na maneno ya ajabu ajanu ndio maana zina hit
Hhhha ya nakomaa na jiji alijitahidi jamanii
Akiwa anapafom anasemaga haya twendeeeee twendeeeeeee ,nachekagaa,mi napenda kanatafuta pesa yake kenyewe hakasubiri mabwana