Shilole: Bila kiuno nisingefika Ulaya

Shilole: Bila kiuno nisingefika Ulaya

Hahahahhaaaa...kutoka igunga hadi ulaya bila shule kichwani ni kazi ujue....

ahahaha tena kazi kweli kweli, ila si nasikia uko ubelgiji kapelekwa na danga jaman? maana sitaki kuamini eti wabelgij wamedata na kiuno cha shilole ana kiuno gan na yule? si kama jide tu , ebu atupishe apa nfyuu
 
Kiuno au kutingisha makalio

kati ya watu wenye bahat duniani, shilold mi mmoja wapo, maana sauti hana wala hicho kiuno anachojidai kuwa nachp hana, ni kwa kuwa nyimbo zake zinakuwaga na maneno ya ajabu ajanu ndio maana zina hit
 
kati ya watu wenye bahat duniani, shilold mi mmoja wapo, maana sauti hana wala hicho kiuno anachojidai kuwa nachp hana, ni kwa kuwa nyimbo zake zinakuwaga na maneno ya ajabu ajanu ndio maana zina hit

Hhhha ya nakomaa na jiji alijitahidi jamanii
Akiwa anapafom anasemaga haya twendeeeee twendeeeeeee ,nachekagaa,mi napenda kanatafuta pesa yake kenyewe hakasubiri mabwana
 
Hhhha ya nakomaa na jiji alijitahidi jamanii
Akiwa anapafom anasemaga haya twendeeeee twendeeeeeee ,nachekagaa,mi napenda kanatafuta pesa yake kenyewe hakasubiri mabwana

hana bahati ya kupata wenye hela yule anapataga marioooo
 
hana bahati ya kupata wenye hela yule anapataga marioooo

Hhhhhhaaa alipataga mzungu weeee alifurahiajee, kumbe mzungu shogaa nilichekaga naenda Uk sijui blah blah.... warumi unakumbukaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom