Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

wanamchafua legendary shilole,mwanadada mwenye sauti tamu na nyimbo nzuri za kimataifa,kawaulize wabelgiji wanamvyoshobokea,watanzania mheshimuni shilole,aliwahi kukimbiwa studio na jennifer lopez bada ya JLO kufika na kukuta shilole kaingiza vokali kali.....kama unabisha muandikie e mail producer dark child wa USA atakuambia hilo.
 
kwenye interview na Ayo tv aliulizwa where have you been akajibu l am here,duuuuuh japo kingereza sio kigezo cha aina yeyote kwenye maisha lakini ananiacha hoi anapojibu kwa mikogo.
 
You're extremely stupid, the topic writer listened to shilole how she failed to express herself when she was being interviewed ,how comes that you defend her? is she your concubine?
Normally I do not urge with stressed & depressed people pole
 
Saa zingine hua tunajiita majina ambayo yanaendana na vilivyoko akilini mwetu [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…