maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
wanamchafua legendary shilole,mwanadada mwenye sauti tamu na nyimbo nzuri za kimataifa,kawaulize wabelgiji wanamvyoshobokea,watanzania mheshimuni shilole,aliwahi kukimbiwa studio na jennifer lopez bada ya JLO kufika na kukuta shilole kaingiza vokali kali.....kama unabisha muandikie e mail producer dark child wa USA atakuambia hilo.