KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
We unajua kiarabu tu.Kizungu ndiyo lugha ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajua kiarabu tu.Kizungu ndiyo lugha ya wapi?
Kwahiyo kuna wanaomtafuta shilole kwa kuhitaji huduma yake? Hasa huko nje? Kama ni hivyo sawaYello masai tunachozumza ni kuthamini lugha yako sio lazima ajuwe lugha ngeni kama hawezi aongeee hata kikwao wanaohitaji huduma yake watatumia njia mbadalla kupata huduma yake
Kwanza ni bora hata aongee kiswahiri maana aonyeshe yeye ni mtanzania Halisi hayo mambo ya ulazima ujuwe kiingereza mi siafiki kabisaaaaaaaa mbona wachina wanaongea lugha yao na wapo vizuri kibiashara tuache utumwa
MCHEWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWYaah maana nlisikia huyu bidada akijitapa kwamba huwa anatumia kama 4M kuvaa kwa kila shoo… . alaf hapo madancer hawajavaa. nilimpigia hesabu sikuelewa
uzalendo ndo kikubwa tuache kuabudu kwa wenzetu
Hata kidogo???hajui
sidhani km anaelewaga anaongea nnHata kidogo???
hapo ndo panaumiza saaana mahakamaniUzalendo???? kungekuwa na elimu ya kutumia kizungu kuanzia form one mpaka chuo??? huku ya kiswahili ikitumika shule ya msingi tu??? kwanini noti (pesa) ina lugha ya kiingereza kama sio yetu???
Nimehudhuria mahakamani na ndugu zangu siku moja tulikuwa na kesi, yule hakimu hakuwa anatumia kiswahili unafikiri nani angemuelewa kama hakuna anayeijuwa kizungu???
Kama kiuno kinafikisha ujumbe vizuri na anapata riziki yake kwanini ajitese na kithungu ~ nawaza tu in her fans voicesidhani km anaelewaga anaongea nn
Acha uongo mkuu..karibu nchi zote za ulaya lugha ya pili ni kiingereza..hasa hiyo ujerumani unayoisema!labda vibabu..lkn kuanzia 55yrs kurudi chini wote wanachapa ngeli mkuu!Wajerumani ni wazungu lakini hawajui Kiingereza si bora Shilole Mbantu?
Mwambie basi ahamie England bila kujifunza kingereza uone kama hakutakuwa na tatizo!..kwa taarifa yako hivi sasa ana mwalim special anayemlipa kumfundisha kiingereza!kiukweli wasanii ni muhimu sana kujua lugha ya kiingereza!maana ni international medium of communication!Hata messi wakat anapokea tuzo hakuongea hyo lugha unayoisemea, aliongea lugha ya kwao.
Unajifurahisha mkuu!nadhani ni sizitaki mbichi hizi!Kitendo cha kutokujua Kingereza ni uzalendo tosha
infact " hakika "mwalimu wa kiswahili au historia nafikiri ahahaha
You're extremely stupid, the topic writer listened to shilole how she failed to express herself when she was being interviewed ,how comes that you defend her? is she your concubine?You are totally wrong, I'm sure she speaks English though not fluent but at least appreciate that then advice her to invest on it.