Shilole kiuno tisha sana! Atua ubelgiji kwa kishindo! Tazama pichaz hapa

Shilole kiuno tisha sana! Atua ubelgiji kwa kishindo! Tazama pichaz hapa

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34
DSCF9899.JPG


Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.
DSCF9902.JPG

Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.
DSCF9922.JPG


The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani Brussel.
 
kaenda kufanya nini au ndo anamtafuta jenifer lopez afanye naye collabo
 
Kwa muziki gani mzuri aufanyao?au kapeleka unga wa sembe..
 
kama ametua kwa kishindo kweli bac bila shaka hicho kishindo kitakuwa kimesababishwa na mzigo aliokuwa nao tumbon...ndio umeongeza uzito mpaka kikatokea kishindo
 
Kakipeleka kwa Mohammed akibabue kidogo.. Nuhu mziwanda geresha tuu
 
Back
Top Bottom