Shilole kiuno tisha sana! Atua ubelgiji kwa kishindo! Tazama pichaz hapa

Shilole kiuno tisha sana! Atua ubelgiji kwa kishindo! Tazama pichaz hapa

Huko amekutana na meneja Vincent Kompany kwa ajili ya kuandaa tamasha la matumaini Igunga.Tujiandae kwa fiksi hiyo maana Marekani alikutana na meneja wa J.Lo ili afanye kollabo na J.Lo
 
kaenda kufanya nini au ndo anamtafuta jenifer lopez afanye naye collabo

Haa haa haa haa...nikikumbuka ile takeone ya Zamaradi na jinsi alivyokua anaongea yaaan hadi aibu.
 

1932402_10152875978505871_7520751972300763542_n.jpg
 
Hicho kishindo mbona sijakiona,ila afadhali Shilole kanajituma sanaa jamani kusaka pesa
 
Back
Top Bottom