Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Kaka shishi mkali hakuna mkorogo hapo huyo mwarabu wa IgungaKwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili
Anajiongezea huyo mkuuKaka shishi mkali hakuna mkorogo hapo huyo mwarabu wa Igunga
ahahaha,Ndio maana ukimuangalia vizuri utagundua kuwa uso wa kisasa miguu ya kizaman
Yalaaaaah
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.
Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.
Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh Mziwanda, Shishi Baby alisema hana uhusiano naye wa kimapenzi, isipokuwa ni rafiki wa kawaida tu!
Habari mkuuahahaha,
Huyu dada hata mbunye anipe bure siwezi kumgonga hanivutii hata kidogo
poa,vipi?Habari mkuu
lete update mzeeKwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili