Shilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali

Shilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali

ila upendo ni muhimu sana kama ni wakweli! lakini sio kwa huu utitiri wa mariooos jaman wamejilegeza mlenda una afadhali
 
Kawatega huyo, hapo katangaza biashara yake, kazi kwenu wanaume wenye fedha.
 
Itakuwa ngumu sana coz kila mwanaume ni mvaa suruali!!!!!
 
Kwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili
Kaka shishi mkali hakuna mkorogo hapo huyo mwarabu wa Igunga
 
Watu wanamshambulia Kama Hana haki ya kuchagua mpenzi!
 
SHILOLE77.jpg

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.

Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.

Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh Mziwanda, Shishi Baby alisema hana uhusiano naye wa kimapenzi, isipokuwa ni rafiki wa kawaida tu!
Yalaaaaah
 
Huyu dada hata mbunye anipe bure siwezi kumgonga hanivutii hata kidogo
 
Soon nitajiunga WCB,nimpate shishi!
Mwanamke ni mwanamke tu,hata aweje.
YNWA
 
Bongo hakuna super star zaid ya king Majuto nimekuelewa nyandu mana huyu hata simu yake mbombo
 
Kwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili
lete update mzee
 
Back
Top Bottom