Shilole kukataliwa ukweni

Hao ndugu wakalale
Wafate yao

hainaga kuuliza umri ile makitu!!!!

Mi ningekuwa mzazi maamuzi namwachia tu mwanangu ili mradi kafikisha umri wa kuoa na ni mtu mzima akafie mbele huko yeye mwenyewe

Wakaache kale katoto kapewe twisheni na waliokubuhu hao watoto wenzie watamsumbua kwanza ni sunna kuona aliekuzidi umri.

Age ain't nothing but a number!

Si haramu nzi kufia kwenye kidonda...kama dogo ana zaidi ya miaka kumi na nane aachwe afuate moyo wake jamani.

Kipendacho roho hula nyama mbichi...na mtoto akililia wembe mpeni.

Well said wakuu.
 
Naunga mkono hoja.....alafu na milage ya papuchi. yke vp..
 
Mwenzangu mie nimemjulia instagram na kumuona uko tu

Kwa hiyo mziwanda ni mwanamuziki sio duuuu wanamuziki wengiii yaan shilole haonagi aibu kuvivulia vidogo zake nahis hata dogo janja ashapigaa
 
Kwa hiyo mziwanda ni mwanamuziki sio duuuu wanamuziki wengiii yaan shilole haonagi aibu kuvivulia vidogo zake nahis hata dogo janja ashapigaa

AHahah haha umenichekesha binamu hadi dogo janja? Nae atakuwa kazidisha tutamchezea kigodor tumchambe aache kutuaribia vijana wetu , akawape hilo bakuli lake akina chid benz uko mfyuuu
 
AHahah haha umenichekesha binamu hadi dogo janja? Nae atakuwa kazidisha tutamchezea kigodor tumchambe aache kutuaribia vijana wetu , akawape hilo bakuli lake akina chid benz uko mfyuuu

Unafikiriii sijui vinamkuna mnoo anatuharibia wadogo zetu we nasikia hadi young dee kamla shilole, ila binam yule wa sound track ni wa ukwelii lo nae uwoya anambemendaa khaa!!!!!
 
Unafikiriii sijui vinamkuna mnoo anatuharibia wadogo zetu we nasikia hadi young dee kamla shilole, ila binam yule wa sound track ni wa ukwelii lo nae uwoya anambemendaa khaa!!!!!
Au mganga wake ndo anavyomtumaga huyu atembee na vitoto? Maana sio bure huyu yani anapenda vitoto kiama we ngoja siku tumuwekee mtego wa global manina zake atarud igunga kukiuza, halafu ndo anasema alibakwaga huyu? Mmh nyie binamu ulimwengu una miujiza ila shilole kazidisha tukudanganya alibakwa
 
Kwa hiyo mziwanda ni mwanamuziki sio duuuu wanamuziki wengiii yaan shilole haonagi aibu kuvivulia vidogo zake nahis hata dogo janja ashapigaa

afu shilole ana28 asibishe nakumbuka interview yake ya mwanzo kwenye gazeti la risasi alisema kazaliwa 1986 ila asa hv anadanganya sijui yukoje yule...!
 
afu shilole ana28 asibishe nakumbuka interview yake ya mwanzo kwenye gazeti la risasi alisema kazaliwa 1986 ila asa hv anadanganya sijui yukoje yule...!

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Shilole na sintah, nimekumbuka mbali ile michambo yao kwenye take one, halafu nilimsikia shilole akisema atafanya collabo na j-lo ilikuwa mwaka jana sijui, sasa nashangaa had leo kimya, mashabiki wake tunasubir kwa hamu collaboration la nguvu

Halafu shilole enterview zake dah hadi naonaga aibu anavyojielezea, yani kama hamnazo vile yani anaongea mambo ya ajabu ajabu halafu hayaeleweki, atakuwa kalogwa yule
 
Afanye na mafikizolo,binamu hujanipa umbea wa kina terelence jina gumu sijui hata nimelipatia mwe!!!
 
Afanye na mafikizolo,binamu hujanipa umbea wa kina terelence jina gumu sijui hata nimelipatia mwe!!!

Terelence ndo nini na wewe nawe?, ebu tusitafute makubwa apa tusije tukaumbuka bure hayo mambo ya kizungu tuwaachie wenyew, sie turud zetu na stor za shipping cost na mama ubaya ndo zinatufaa hao akina terelence sijui waachie wakina Money Stunna
 
Last edited by a moderator:

Arogwe na nani yule? Arogwe kisa nini? msiwasingizie wachawi jamani...

Chambilecho" Hujarogwa mlimwengu, usitafute sababi, hiyo ni fimbo ya Mungu yakushikisha adabu"

Hivi unadhani kubemenda watoto wa watu mchezo?
 
Wakati mwingine inaweza ikawa tatizo si umri, bali ni kwasababu bidada anavyojiachia sana kwenye show zake, wakati mwingine anacheza yeye lakini we mtazamaji ndio unajisikia aibu
 
Arogwe na nani yule? Arogwe kisa nini? msiwasingizie wachawi jamani...

Chambilecho" Hujarogwa mlimwengu, usitafute sababi, hiyo ni fimbo ya Mungu yakushikisha adabu"

Hivi unadhani kubemenda watoto wa watu mchezo?

Anasemaga wasanii wenzie wanamuonea wivu na wanahangaika kwa waganga kumroga, yan wasanii wetu wanawazaga uchawi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…